kwa mwanamke mwenye sifa, ajitokeze nimchukue

kwa mwanamke mwenye sifa, ajitokeze nimchukue

hahaaaa! Umenivunja mbavubadiebey....akiweka fake....

hahah,kweli tena yan,atupe vielelezoo...preferebly pcha upigie ofisin hv hehe..cjui ni mfanyakaz wa USAID ,au PEPFAR mkuu
 
Weka picha kwanza watu tuone halafu ndio utapata siyo kuleta sifa ya elimu
Mimi ni kijana wa miaka 28 sasa, Nina elimu safi ya chuo kikuu kutoka moja ya vyuo maarufu hapa nchini. Kwa sasa nafanya kazi katika taasisi moja ya kimataifa (USA based organization). Nishakuwa na mahusiano na wanawake kadhaa huko nyuma ila mahusiano mengi yalivunjika kwa kuwa nilikuwa sana busy. sasa nataka msichana safi anayejua kupenda na kucare mwanaume mungu akipenda tufanya maisha sasa muda wa kuruka ruka umeisha. kwa walio tayari wantext 0654 531 647. then mengine tutapanga huko. wakwanza kujitokeza watapewa kipaumbule. Mimi naisha dar na nitapendelea wa dar hapa hapa, wa mikoani tutasumbuana namna ya kuonana
 
msiogope kuaply anasema "waliotayari" hvo uspokuwa wa kwanza walau hata kumi bora hutokosa
 
km unajiamini ni mzuri wa sura na tabia nicheck tu tutaangalia namna ila wa dar wana added advantage

Na wewe unajiamin ni handsome? au unadhan sie tunapenda wenye sura ngumu eee,mi nataka unipe raha na kuniondolea stress tu,wa maisha utatafutaa
 
kutokana nahali yasasa ya wanawake wapenda pesa ndugu yangu ukitaka kupata mke bora popote Tanzania usiweke vigezo kama ivyo ata kama unavyo mfano,degree,bachela,sjui nalipwa mil.2 kwa mwazi ni ukuda uo kuwa mjanja mkuu jifanye maskini wakati uo ili badae mfurah pa1 mkuu.
 
Back
Top Bottom