Kwa Mwanamke Alo Serious Kuolewa tu

Kwa Mwanamke Alo Serious Kuolewa tu

Hivi ninyi mnaokosoa watu humu mnadhani jukwaa hili mliwekewa ninyi mkosoe? Shame kwenu wote jifunzeni kuheshimu maamuzi ya watu banah....pia wote mnaotafuta humu make/mume tujitahidi matumizi ya lugha jamani vp mtu unaandika demu? Au huweki details muhimu unategemea nini? Let's be serious la sivyo tutakosesha watu fursa huenda mnaokosoa mnakesha kuvizia wake/waume za watu ....shenzi
 
Back
Top Bottom