Nakuomba wewe mwanamke uliyetayari kuolewa uje tuyaanze maisha

Strong Side

Senior Member
Sep 17, 2019
186
302
Mwanamke naye muhitaji naomba awe na sifa hizi.

1. Umri miaka 22 mpaka 28

2. Mcha Mungu

3. Awe ameajiriwa serikalini / sekta binafsi au mjasiriamali.

4. Kabila lolote

5. Dini yoyote (hapa tutakaa chini tuzungumze)

6. Umbo lolote

7. Asiwe na mtoto

8. Awe serious na mkweli.

9. Awe tayari kuja kuishi huku nilipo

Sifa zangu

1. Nina miaka 30

2. Ni muajiriwa serikalini

3. Ni kijana mwenye hofu ya Mungu

4. Elimu yangu ni kidato cha nne

5. Ni mrefu futi 6

6. Maji ya kunde

7. Sio mnene wastani

8. Dini Mkristo

9. Mwanaume kutoka moja ya mikoa ya kanda ya ziwa.

10. Nina mapenzi ya dhati

Sifa nyingine njoo PM tuwasiliane na nikupe mawasiliano zaidi.

Changamoto zangu

1. Ndio naanza maisha, sina gari wala nyumba ila usijali tutakaa hapa nilipo panga single room.

Ni hayo tu ndugu zangu.
 
Miaka 30 mwajiriwa serikalini, elimu kidato cha nne.

Probably kidato cha nne umemaliza kuanzia 2010 hapo. Wajuzi serikali imeajiri kada ipi sifa ikiwa ni kidato cha nne? Mimi sijui mambo ya serikalini huko.
Usiwe na wasiwasi mkuu hakuna kilicho pindishwa katika hayo maelezo huo ndio uhalisia. Sitaki kumdanganya mtoto wa mtu
 
Mwanamke naye muhitaji naomba awe na sifa hizi.

1. Umri miaka 22 mpaka 28

2. Mcha Mungu

3. Awe ameajiriwa serikalini / sekta binafsi au mjasiriamali.

4. Kabila lolote

5. Dini yoyote (hapa tutakaa chini tuzungumze)

6. Umbo lolote

7. Asiwe na mtoto

8. Awe serious na mkweli.

9. Awe tayari kuja kuishi huku nilipo

Sifa zangu

1. Nina miaka 30

2. Ni muajiriwa serikalini

3. Ni kijana mwenye hofu ya Mungu

4. Elimu yangu ni kidato cha nne

5. Ni mrefu futi 6

6. Maji ya kunde

7. Sio mnene wastani

8. Dini Mkristo

9. Mwanaume kutoka moja ya mikoa ya kanda ya ziwa.

10. Nina mapenzi ya dhati

Sifa nyingine njoo PM tuwasiliane na nikupe mawasiliano zaidi.

Changamoto zangu

1. Ndio naanza maisha, sina gari wala nyumba ila usijali tutakaa hapa nilipo panga single room.

Ni hayo tu ndugu zangu.
Serikali ya wapi hiyo inayoajiri mtu mwenye elimu ya kidato cha nne, huku akiwa na umri wa miaka 30! Halafu mwishoni unasema eti ndiyo unaanza maisha!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom