Wakuu habarini, ni mwanaume naishi dar umri 31yrs, din Rc,sina situmii kilevi chochote,sina mtoto wala sijawah kuo, elimu yangu ni chuo kikuu. natafuta mwanamke wa kuoa mwenye sifa hiz, umri 25-32, mweupe, mnene kias, mrefu kias, elimu kuanzia la saba mpk chuo kikuu.
Awe mwaminifu ktk ndoa.alie tayar atoe namba tuwasiliane tayar kwa mahusiano.
Awe mwaminifu ktk ndoa.alie tayar atoe namba tuwasiliane tayar kwa mahusiano.