Kwa Mwanamke Alo Serious Kuolewa tu

Kwa Mwanamke Alo Serious Kuolewa tu

hii ndio MMU , wengine wanaponda hapa na wengine wanaenda kutafuta bahati PM...
 
inawezekana ningeweza kuwa mke wako ila nina waswas kama unaoweza kukutana nao huwezi kufunguka unakuja kutafuta kwa maandishi hapa jeeeeeee mambo mengine jeeeee?
 
mmmh labda mchepuko mm natafuta mchepuko aliyetayari tuwasiliane! ni mwanaume nina miaka 29
 
Back
Top Bottom