Kwa muktadha huu: Dr Slaa ikulu hapamfai!

nikikuta muweka post ni wewe huwa sichangii maana kumuelimisha gamba kama wewe ni bora umpigie mbuzi gita huenda akatikisa hata mkia kuashilia kuwa anacheza
 
Hatutaki Tanzania tuwe wajane kwa kufiwa na rais wetu mzee. Hinyahinya za urais dr slaa haziwezi. Kama rais wetu mpendww J. kikwete aliingia madarakani akwa kijana na sasa ameanza kuzeeka, huyu anayeingia akiwa mzee si atatembelea na mkongojo? Msilete masihara jamani. Kazi ya urais si kama kumhudumia Josephine.
Lizaboni,

..hoja zako zinakosa nguvu kutokana na uwepo wa JK kama Raisi wa JMT.

..mbona JK alichaguliwa wakati kwenye kampeni alikuwa anakwenda na ambulance, na amezimika siyo mara moja mbele ya kadamnasi?

..huwezi kumtabiria mtu kifo. kuna watu walikuwa na afya kuliko JK ambaye ni spana mkononi, lakini wametangulia kwenye haki, na JK anakaribia kumaliza ngwe ya pili kama raisi.

cc: Pasco, HAMY-D, kalou
 
Last edited by a moderator:
Ni vyema kwa CHADEMA
wakajitathmini na kuibua mtu mwingine badala ya kutegemea mtu mmoja kuwa
nguzo ya chama ilhali nguzo yenyewe imeanza kuchoka.

Kwa hali ilivyo sasa, anguko la Dr Slaa ni anguko la CHADEMA.
wewe lazima utkuwa ni mtoto wa magamba wanaoharb nnchi. swala la familia linahus nn chi yetu. yaelekea hujaoa ukajua changamoto za kuishi na wanawake. kama c dokta ungjua nn maana ya mafisad. chezea Doct wewe
 
Ni vyema kwa CHADEMA wakajitathmini na kuibua mtu mwingine badala ya kutegemea mtu mmoja kuwa nguzo ya chama ilhali nguzo yenyewe imeanza kuchoka.

Kwa hali ilivyo sasa, anguko la Dr Slaa ni anguko la CHADEMA.

We ndie yule unaetafunwa exoz?!
 
HAMY-D,

1. JK anaumwa na amewahi kuanguka ndani na nje ya nchi. mbona yeye hamumwambii apumzike?

2. ndugu yangu, kama Mandela aliweza kurithi jeshi la makaburu, basi hata Slaa anaweza kurithi jeshi la polisi la CCM na kulirekebisha likawa la wa-Tanzania wote.

3.kuendelea kumsimanga Dr.Slaa kuhusu masuala yake ya ndoa ni cheap politics. this same trick mlishaijaribu dhidi ya Prof.Lipumba, na Pius Msekwa. kama wameshakaa kinyumba muda wote huu, mpaka kuwa na mtoto, basi wana haki zote za kutambuliwa kama mke na mume.

4.kitakachowazuia maraisi wetu kuiba ni kuwepo kwa vyombo vya dola vya kiuchunguzi ambavyo viko huru na vina meno. tukiwa na utaratibu huo, wote wenye tamaa za kifisadi watang'airi kwenda ikulu kwa nia ya kufisadi.

HITIMISHO:

Dr.Slaa anatosha kuongoza nchi.

cc: Pasco

JokaKuu,

1. Mkuu, kama utakuwa na kumbukumbu vizuri sababu za JK kuanguka siku ya kampeni pale jangwani ilielezwa. Kampeni zile zilikuwa siku ya mfungo wa mwezi mtufuku na kama ilivyo ada JK nae alikuwa kwenye mfungo. Sasa kuwa kwenye mfungo na pilika pilika za urais ni wazi mtu atachoka tu na wala si ugonjwa.

2. Tatizo la Dr Slaa ni kwamba hatambui juhudi za majeshi yetu ya ulinzi na usalama. Kama ungefatilia mdahalo wa jana ungeweza kung'amua kitu. Dr Slaa alitumia lugha kali na ya kuudhi kwa majeshi yetu tena chini ya uwakilishi wa majeshi hayo, jambo ambalo linakatisha tamaa na kurudisha nyuma juhudi za majeshi. Unadhani kufumua jeshi ni suluhu? kama ikifanywa hivyo basi tujiandae kuwa na jeshi jingine mtaani.

3. Mkuu hapana sijamsimanga Dr Slaa, hoja yangu ni kwamba kwanini Dr Slaa asifanye mipango ya ndoa na Josephine badala ya kuishi kama washkaji. Ni vyema ifanywe harusi wananchi wote tujue, ingekuwa ni vyema sana kuliko hii ya kuchukuana kimya kimya.

4. Nakubaliana na wewe kwenye hili.
 
Last edited by a moderator:
wewe lazima utkuwa ni mtoto wa magamba wanaoharb nnchi. swala la familia linahus nn chi yetu. yaelekea hujaoa ukajua changamoto za kuishi na wanawake. kama c dokta ungjua nn maana ya mafisad. chezea Doct wewe

Kama umezaliwa juzi basi wenda utasema Dr Slaa ndiye mwanzisha ugunduzi wa mafisaji, ila sie wakongwe haya mambo tumeyashuhudia enzi za mwalimu, ni majina tu yana badilika kwani enzi zile walikuwa wakiitwa wahujumu uchumi na wabadhilifu wa mali za umma. Rejea historia ya kifo cha Malima.
 
Ni vyema kwa CHADEMA wakajitathmini na kuibua mtu mwingine badala ya kutegemea mtu mmoja kuwa nguzo ya chama ilhali nguzo yenyewe imeanza kuchoka.

Kwa hali ilivyo sasa, anguko la Dr Slaa ni anguko la CHADEMA.

We jamaa una taabu sana, huna jipya tena, kila leo wewe na Dr.Slaa tu. I think even in your deathbed the last word to utter will be Dr. Slaa...... unapaka rangi upepo na kwa mtindo huu come 2015 utapata stroke kutokana na chuki yako juu ya Dr. Slaa.
 
Kama umezaliwa juzi basi wenda utasema Dr Slaa ndiye mwanzisha ugunduzi wa mafisaji, ila sie wakongwe haya mambo tumeyashuhudia enzi za mwalimu, ni majina tu yana badilika kwani enzi zile walikuwa wakiitwa wahujumu uchumi na wabadhilifu wa mali za umma. Rejea historia ya kifo cha Malima.

Mmh...! hao MAFISAJI ndo wakoje!???
 
MKUU! WEWE UNASHANGAZA KWELI!!!!!!!!!!!!!!!! Je kwa akili yako unadhani kuhudumia watu kwa uaminifu na uadilifu sio kuhudumia watu wa Mungu....wakiwemo kondoo wa BWANA? I mean, kama ningetaka kujenga hoja hapa, wakati akiwa padri alihudumia kakundi kadogo ka waumini, endapo atakuwa OUR NEXT PRESIDENT atakuwa anahudumia kundi kubwa sana la watanzania bila kujali dini, rangi, kabila wala ufuasi wa kisiasa. MWISHO! Lazma ufahamu kuwa hata viongozi hutoka kwa BWANA huyo huyo, na hivyo kuhudumia watu ni sawa na kuifanya kazi ya Mungu.
Dr Slaa ni mtu mtakatifu?, kwa lipi mkuu?, kukimbia kuhudumia kondoo wa bwana?
 
Nilishasema mwaka juzi kwenye arusi ya dadangu na narudia kusema leo ili kila mtu asikie: ''Slaa ni mtu anayeugua ugonjwa wa akili unaotokana na laana ya kuacha kazi ya Mungu na kugeukia mambo ya kidunia''

Usijali mpenz.i wangu bado na kwenye harusi yetu utasema tena.
 
We jamaa una taabu sana, huna jipya tena, kila leo wewe na Dr.Slaa tu. I think even in your deathbed the last word to utter will be Dr. Slaa...... unapaka rangi upepo na kwa mtindo huu come 2015 utapata stroke kutokana na chuki yako juu ya Dr. Slaa.

Nitawezaje kuwa na jipya wakati haya ninayo pambana nayo bado sijayatimiza?

Dr Slaa ana mapungufu rukuki, ndio kwanza niko dibaji katika kuyaweka hadharani mapungufu yake ambayo yanamfanya asiwe rais.
 
Acheni uoga,mnajua slaa akiingia ikulu mali zote mlizokwapua mtarejesha.....kama ni umri L na S wana umri gani?
 
Hamy -d, lazima umeingia humu kutafuta 7000/= za kuanzia siku, kinachoandikwa humu ni utumbo mtupu, Huyo JK anautakatifu gani wa kukaa ikulu, we sikutafautishi na nyani asiyeona ...lake.
watakao chagua rais niwananchi, hata kama watataka tuongozwa na kichaa, kwahiyo rais atachaguliwa na wananchi, usipoteze muda wako kutueleza nani wa kumchagua?...ukitaka kujua moto wa slaa nenda ukamuume sikio JK akwambie alivyo pelekwa puta 2010, hamu hana...pamoja na msaada wa lipumba lakini bado ngoma ili kuwa nzito
 
Kwa style hii mnanifanya niamini kuwa dr slaa ana nguvu kubwa yeye kama yeye maana kila kukicha dr slaa,nyie tafuteni mbinu za kuiba kura tu ila njia ya kwenda ikulu kwa dr slaa iko wazi na tena ikulu tutaihamishia dodoma kabisa maana pale ilipo sio patakatifu tena

Palikuwa patakatifu alipokuwepo baba wa Taifa,kuna vyama viwili ambavyo baba wa Taifa kishavitabiria kuingia ikulu navyo ni cdn na cuf na kama unavyojua nguvu ya cuf mlifanikiwa kuimaliza ila huu mziki wa cdm mtatumia kila mbinu kuuzima ila daima hamtafanikiwa milele amina
 
Back
Top Bottom