Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,372
ikulu ni mahala patakatifu na dr slaa n mtu mtakatifu.
funga uzi huu mods.
Kama na siku hizi wazinzi nao wanaitwa watakatifu sawa.
ikulu ni mahala patakatifu na dr slaa n mtu mtakatifu.
funga uzi huu mods.
Lizaboni,Hatutaki Tanzania tuwe wajane kwa kufiwa na rais wetu mzee. Hinyahinya za urais dr slaa haziwezi. Kama rais wetu mpendww J. kikwete aliingia madarakani akwa kijana na sasa ameanza kuzeeka, huyu anayeingia akiwa mzee si atatembelea na mkongojo? Msilete masihara jamani. Kazi ya urais si kama kumhudumia Josephine.
huyu naona analipwa vizuri na magamba!hamy-d change is coming!asubuhi Dr.slaa, mchana Dr.slaa, jioni Dr.slaa ,usiku Dr.Slaa...........ndio sera ya C.C.M?
wewe lazima utkuwa ni mtoto wa magamba wanaoharb nnchi. swala la familia linahus nn chi yetu. yaelekea hujaoa ukajua changamoto za kuishi na wanawake. kama c dokta ungjua nn maana ya mafisad. chezea Doct weweNi vyema kwa CHADEMA
wakajitathmini na kuibua mtu mwingine badala ya kutegemea mtu mmoja kuwa
nguzo ya chama ilhali nguzo yenyewe imeanza kuchoka.
Kwa hali ilivyo sasa, anguko la Dr Slaa ni anguko la CHADEMA.
Ni vyema kwa CHADEMA wakajitathmini na kuibua mtu mwingine badala ya kutegemea mtu mmoja kuwa nguzo ya chama ilhali nguzo yenyewe imeanza kuchoka.
Kwa hali ilivyo sasa, anguko la Dr Slaa ni anguko la CHADEMA.
HAMY-D,
1. JK anaumwa na amewahi kuanguka ndani na nje ya nchi. mbona yeye hamumwambii apumzike?
2. ndugu yangu, kama Mandela aliweza kurithi jeshi la makaburu, basi hata Slaa anaweza kurithi jeshi la polisi la CCM na kulirekebisha likawa la wa-Tanzania wote.
3.kuendelea kumsimanga Dr.Slaa kuhusu masuala yake ya ndoa ni cheap politics. this same trick mlishaijaribu dhidi ya Prof.Lipumba, na Pius Msekwa. kama wameshakaa kinyumba muda wote huu, mpaka kuwa na mtoto, basi wana haki zote za kutambuliwa kama mke na mume.
4.kitakachowazuia maraisi wetu kuiba ni kuwepo kwa vyombo vya dola vya kiuchunguzi ambavyo viko huru na vina meno. tukiwa na utaratibu huo, wote wenye tamaa za kifisadi watang'airi kwenda ikulu kwa nia ya kufisadi.
HITIMISHO:
Dr.Slaa anatosha kuongoza nchi.
cc: Pasco
wewe lazima utkuwa ni mtoto wa magamba wanaoharb nnchi. swala la familia linahus nn chi yetu. yaelekea hujaoa ukajua changamoto za kuishi na wanawake. kama c dokta ungjua nn maana ya mafisad. chezea Doct wewe
Unataka kujua umri wa Lowassa ama ni vipi?
Kwa ufupi ni kwamba Lowassa atakuwa chini ya miaka 60 tukifika 2015.
Ni vyema kwa CHADEMA wakajitathmini na kuibua mtu mwingine badala ya kutegemea mtu mmoja kuwa nguzo ya chama ilhali nguzo yenyewe imeanza kuchoka.
Kwa hali ilivyo sasa, anguko la Dr Slaa ni anguko la CHADEMA.
Kama umezaliwa juzi basi wenda utasema Dr Slaa ndiye mwanzisha ugunduzi wa mafisaji, ila sie wakongwe haya mambo tumeyashuhudia enzi za mwalimu, ni majina tu yana badilika kwani enzi zile walikuwa wakiitwa wahujumu uchumi na wabadhilifu wa mali za umma. Rejea historia ya kifo cha Malima.
Dr Slaa ni mtu mtakatifu?, kwa lipi mkuu?, kukimbia kuhudumia kondoo wa bwana?
Nilishasema mwaka juzi kwenye arusi ya dadangu na narudia kusema leo ili kila mtu asikie: ''Slaa ni mtu anayeugua ugonjwa wa akili unaotokana na laana ya kuacha kazi ya Mungu na kugeukia mambo ya kidunia''
We jamaa una taabu sana, huna jipya tena, kila leo wewe na Dr.Slaa tu. I think even in your deathbed the last word to utter will be Dr. Slaa...... unapaka rangi upepo na kwa mtindo huu come 2015 utapata stroke kutokana na chuki yako juu ya Dr. Slaa.