Kavunja katibzKuzuia mikutano ya siasa na maandamano ..kavunja au hajavunja katiba.... Jibu kwanza
C&P.......................... ongezeaWadau, mtu mwenye kujua mchakato mzima wa kikatiba wa kumu-impeach Raisi alie madarakani na hatimae kumvua madaraka atuweke hapa sambamba na ufafanuzi wa ziada kuhusiana na mchakato huo.
Watalaamu mtasaidie maana kusoma tu vipengele husika vya katiba na kanuni husika za Bunge kuhusu jambo hili bila maelezo mengine ya ziada ( ya kisheria, n.k) ni wazi hakutoshi japo kunatoa mwanga fulani hivyo wanaolewa mchakato mzima watuelimishe.
Ni wakati wa kuwaza tofauti sasa.
Ili umsimike Lowasa? Ha ha ha, ngoja 2020 utakapopata mshtuko wa moyo na kufa kabisa. Chadema mna wabunge kiduchu kwa hiyo endelea kuota.Wadau, mtu mwenye kujua mchakato mzima wa kikatiba wa kumu-impeach Raisi alie madarakani na hatimae kumvua madaraka atuweke hapa sambamba na ufafanuzi wa ziada kuhusiana na mchakato huo.
Watalaamu mtasaidie maana kusoma tu vipengele husika vya katiba na kanuni husika za Bunge kuhusu jambo hili bila maelezo mengine ya ziada ( ya kisheria, n.k) ni wazi hakutoshi japo kunatoa mwanga fulani hivyo wanaolewa mchakato mzima watuelimishe.
Ni wakati wa kuwaza tofauti sasa.
mkuu hapa chini ni uchambuzi wa kikatiba kuhusu suala hili uliowahi kufanywa hivi karibuni na Mzee Pius Msekwa.Wadau, mtu mwenye kujua mchakato mzima wa kikatiba wa kumu-impeach Raisi alie madarakani na hatimae kumvua madaraka atuweke hapa sambamba na ufafanuzi wa ziada kuhusiana na mchakato huo.
Watalaamu mtasaidie maana kusoma tu vipengele husika vya katiba na kanuni husika za Bunge kuhusu jambo hili bila maelezo mengine ya ziada ( ya kisheria, n.k) ni wazi hakutoshi japo kunatoa mwanga fulani hivyo wanaolewa mchakato mzima watuelimishe.
Ni wakati wa kuwaza tofauti sasa.
Acha kupaniki!Ili umsimike Lowasa? Ha ha ha, ngoja 2020 utakapopata mshtuko wa moyo na kufa kabisa. Chadema mna wabunge kiduchu kwa hiyo endelea kuota.
Swali la huyu jamaa Salary slip liliwalenga wasomi , haliwahusu mbumbumbuIli umsimike Lowasa? Ha ha ha, ngoja 2020 utakapopata mshtuko wa moyo na kufa kabisa. Chadema mna wabunge kiduchu kwa hiyo endelea kuota.
Ha ha ha, karai vipi? Shetani ilaani chadema.Swali la huyu jamaa Salary slip liliwalenga wasomi , haliwahusu mbumbumbu
Sawa. Subiri mshtuko wa moyo 2020.Acha kupaniki!
Hizo process na wahusika wa hizo process ni tatizo zaidi ya tatizo lenyewe.mkuu hapa chini ni uchambuzi wa kikatiba kuhusu suala hili uliowahi kufanywa hivi karibuni na Mzee Pius Msekwa.
vipengele vyenye mikingamo nimevi highlight in red. hapa patakuwa na shida kubwa kutokana na mfumo wetu huu uliosheheni miegemeo ya kiitikadi ya CCM iliyojaa uzandiki mkubwa.
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Article 46A (1) provides as follows:-
“Bunge linawezakupitisha azimio la kumuondoa Rais madarakani, endapo itatolewa Hoja ya kumshitaki Rais, na ikapitishwa kwa mujibu wa masharti ya Ibara hii”.
Thereafter, sub-articles (2) to (11) make detailed provisions regarding the methodology, as well as the procedure to be followed, in implementing the process of impeaching the President, which is the following:-
(a) a written notice for a motion to be moved in the House for that purpose, signed by not less than 20 per cent of all the members of Parliament, must be submitted to the Speaker, and received by him, not less than thirty days before the date of commencement of the parliamentary session at which the said motion is to be moved.
(b) If the Speaker is satisfied that the said notice is in order, then, at any time during the scheduled session, the Speaker shall call upon the mover to move his motion, whose form must be that “a Special Committee be appointed to investigate the conduct of the President”.
In order for it to be valid, such motion must be adopted by not less than two-thirds of all the members of Parliament. Upon its being so adopted, the Speaker shall announce the names of the members of the relevant Special Committee, which shall consist of :-
(i) The Chief Justice of the United Republic, who shall be the Chairman; (ii) The Zanzibar Chief Justice; and (iii) seven other members appointed by the Speaker in accordance with the standing Rules of the House, in proportion to the numerical strength of the political parties which are represented in the House.
(c) On adoption by Parliament of the said resolution, the President shall be deemed to have been suspended, and his duties and responsibilities shall automatically devolve upon the Vice President, as provided for in article 37 (3) of the same Constitution, until such time when the Speaker informs the President about the outcome of the impeachment proceedings.
(d) The Special Committee is required to start its investigations within seven days after its establishment, and to afford the President adequate opportunity to be heard by the Committee.
The Committee must complete its investigations and report its findings to the Speaker, within ninety days; and the Speaker is similarly required to submit the said report to Parliament, for deliberation and eventual decision.
Parliament is similarly required to afford the President the opportunity to be heard. In order to be valid, the decision by Parliament must be made by an affirmative vote of not less than two thirds of all the members of Parliament, confirming that the President is guilty of the charges against him.
(e) In the event of Parliament deciding that the President is guilty as charged, the Speaker shall so inform the President, and the National Electoral Commission; whereupon the President is required to resign not later than three days after the adoption of such a resolution by Parliament.
Uchochezi ni nini ?Una maana gani kuanzisha uzi wa kichochezi?
Muulize Zitto alifikia wapi hahahahhahaWadau, mtu mwenye kujua mchakato mzima wa kikatiba wa kumu-impeach Raisi alie madarakani na hatimae kumvua madaraka atuweke hapa sambamba na ufafanuzi wa ziada kuhusiana na mchakato huo.
Watalaamu mtasaidie maana kusoma tu vipengele husika vya katiba na kanuni husika za Bunge kuhusu jambo hili bila maelezo mengine ya ziada ( ya kisheria, n.k) ni wazi hakutoshi japo kunatoa mwanga fulani hivyo wanaolewa mchakato mzima watuelimishe.
Ni wakati wa kuwaza tofauti sasa.
Uchochezi ni hali/nia/dalili yakuwa kinyume na Chama Cha PolepoleUchochezi ni nini ?