Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, Bunge linaweza kumwondoa madarakani Rais

Duu mkuu umefika mbali sana, ila kumbuka Tanzania ni nchi ya kidemokrasia hivyo uchaguzi ni kila baada ya miaka 5.kwahiyo subiri miaka 5 ya kikatiba na wakati wa kampeni uyaseme hayo.
 
Wadau, mtu mwenye kujua mchakato mzima wa kikatiba wa kumu-impeach Raisi alie madarakani na hatimae kumvua madaraka atuweke hapa sambamba na ufafanuzi wa ziada kuhusiana na mchakato huo.

Watalaamu mtasaidie maana kusoma tu vipengele husika vya katiba na kanuni husika za Bunge kuhusu jambo hili bila maelezo mengine ya ziada ( ya kisheria, n.k) ni wazi hakutoshi japo kunatoa mwanga fulani hivyo wanaolewa mchakato mzima watuelimishe.

Ni wakati wa kuwaza tofauti sasa.
 
C&P.......................... ongezea
Article 46A. Impeachment by the National Assembly
(1) Notwithstanding the provisions of Article 46 of this Constitution, the National Assembly may pass a resolution to remove the President from office if a motion to impeach the President is moved and passed in accordance with the provisions of this Article.
(2) Subject to the other provisions of this Article, no motion to impeach the President shall be moved save only if it is alleged that the President has -
  1. committed acts which generally violate Constitution or law concerning ethics of public leaders;
  2. committed acts which contravene the conditions concerning the registration of political parties specified in Article 20(2) of this Constitution;
  3. conducted himself in a manner which lowers the esteem of the office of President of the United Republic, and no such motion shall be moved within twenty months from the time when a similar motion was previously moved and rejected by the National Assembly.
(3) The National Assembly shall not pass a motion to impeach the President save only if -
  1. a written notice signed and supported by not less the twenty per cent of all member of Parliament is submitted to the Speaker thirty days prior to the sitting at which such motion is intended to be moved in the National Assembly, specifying the wrong committed by the President and proposing that a Special Committee of Inquiry be Constituted to inquire into the charges brought against the President.
  2. at any time after the Speaker receives the notice duly signed by the Member of Parliament and satisfies himself that the provisions of the Constitution for the moving of the motion have been complied with, to vote on the motion to constitute a Special Committee of Inquiry, and if it is supported by not less than two thirds of all the Member of Parliament, the Speaker shall announce the names of the member of the Special Committee of Inquiry.
(4) The Special Committee of Inquiry for the purpose of this Article shall consist of the following members, that is to say -
  1. the Chief Justice of the United Republic who shall be the Chairman;
  2. the Chief Justice of Tanzania Zanzibar; and
  3. seven members appointed by the Speaker in accordance with the Standing Orders of the National Assembly and taking into account the proportional representation amongst the political parties represented in the National Assembly.
(5) In the event that the National Assembly passes the motion to constitute a Special Committee of Inquiry, the President shall be deemed to be out of office, and the duties and functions of the office of President shall be discharged in accordance with the provisions of Article 37(3) of this Constitution until the Speaker shall inform the President about the resolution of the National Assembly in connection with the charges brought against him.
(6) Within seven days after the Special Committee of Inquiry is constituted, it shall sit, inquire into and analyse the charges preferred against the President, including and affording the President an opportunity to be heard in accordance with the procedure prescribed by the Standing Orders of the National Assembly.
(7) As soon as possible and in any event within a period of not more than ninety days, the Special Committee of Inquiry shall submit its report to the Speaker.
(8) After the Speaker has received the report of the Special Committee of Inquiry, the report shall be tabled before the National Assembly in accordance with the procedure prescribed by the Standing Orders of the National Assembly.
(9) After the report of the Special Committee of Inquiry is submitted pursuant to subarticle (8) the National Assembly shall debate the report and afford the President the opportunity to be heard and by votes of not less than two thirds majority of all the Members of Parliament, the National Assembly shall pass a resolution that either the charges against the President have been proved and that he is unworthy of continuing to hold the office of President, or the charges have not been proved.
(10) In the event the National Assembly passes a resolution that the charges against the President have been proved and that he is unworthy of continuing to hold the office of President, the Speaker shall inform the President and the Chairman of the Electoral Commission about the resolution whereupon the President shall be obliged to resign before the expiry of three days from the day the National Assembly passed the resolution.
(11) In the event the President ceases to hold the office of President by reason of the charges against him being proved he shall not be entitled to receive any payment by way of pension or to receive any benefits.
 
Wadau, mtu mwenye kujua mchakato mzima wa kikatiba wa kumu-impeach Raisi alie madarakani na hatimae kumvua madaraka atuweke hapa sambamba na ufafanuzi wa ziada kuhusiana na mchakato huo.

Watalaamu mtasaidie maana kusoma tu vipengele husika vya katiba na kanuni husika za Bunge kuhusu jambo hili bila maelezo mengine ya ziada ( ya kisheria, n.k) ni wazi hakutoshi japo kunatoa mwanga fulani hivyo wanaolewa mchakato mzima watuelimishe.

Ni wakati wa kuwaza tofauti sasa.
Ili umsimike Lowasa? Ha ha ha, ngoja 2020 utakapopata mshtuko wa moyo na kufa kabisa. Chadema mna wabunge kiduchu kwa hiyo endelea kuota.
 
Wadau, mtu mwenye kujua mchakato mzima wa kikatiba wa kumu-impeach Raisi alie madarakani na hatimae kumvua madaraka atuweke hapa sambamba na ufafanuzi wa ziada kuhusiana na mchakato huo.

Watalaamu mtasaidie maana kusoma tu vipengele husika vya katiba na kanuni husika za Bunge kuhusu jambo hili bila maelezo mengine ya ziada ( ya kisheria, n.k) ni wazi hakutoshi japo kunatoa mwanga fulani hivyo wanaolewa mchakato mzima watuelimishe.

Ni wakati wa kuwaza tofauti sasa.
mkuu hapa chini ni uchambuzi wa kikatiba kuhusu suala hili uliowahi kufanywa hivi karibuni na Mzee Pius Msekwa.

vipengele vyenye mikingamo nimevi highlight in red. hapa patakuwa na shida kubwa kutokana na mfumo wetu huu uliosheheni miegemeo ya kiitikadi ya CCM iliyojaa uzandiki mkubwa.

+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

Article 46A (1) provides as follows:-

“Bunge linawezakupitisha azimio la kumuondoa Rais madarakani, endapo itatolewa Hoja ya kumshitaki Rais, na ikapitishwa kwa mujibu wa masharti ya Ibara hii”.

Thereafter, sub-articles (2) to (11) make detailed provisions regarding the methodology, as well as the procedure to be followed, in implementing the process of impeaching the President, which is the following:-

(a) a written notice for a motion to be moved in the House for that purpose, signed by not less than 20 per cent of all the members of Parliament, must be submitted to the Speaker, and received by him, not less than thirty days before the date of commencement of the parliamentary session at which the said motion is to be moved.

(b) If the Speaker is satisfied that the said notice is in order, then, at any time during the scheduled session, the Speaker shall call upon the mover to move his motion, whose form must be that “a Special Committee be appointed to investigate the conduct of the President”.
In order for it to be valid,
such motion must be adopted by not less than two-thirds of all the members of Parliament. Upon its being so adopted, the Speaker shall announce the names of the members of the relevant Special Committee, which shall consist of :-

(i) The Chief Justice of the United Republic, who shall be the Chairman; (ii) The Zanzibar Chief Justice; and (iii) seven other members appointed by the Speaker in accordance with the standing Rules of the House, in proportion to the numerical strength of the political parties which are represented in the House.

(c) On adoption by Parliament of the said resolution, the President shall be deemed to have been suspended, and his duties and responsibilities shall automatically devolve upon the Vice President, as provided for in article 37 (3) of the same Constitution, until such time when the Speaker informs the President about the outcome of the impeachment proceedings.

(d) The Special Committee is required to start its investigations within seven days after its establishment, and to afford the President adequate opportunity to be heard by the Committee.

The Committee must complete its investigations and report its findings to the Speaker, within ninety days; and the Speaker is similarly required to submit the said report to Parliament, for deliberation and eventual decision.

Parliament is similarly required to afford the President the opportunity to be heard. In order to be valid, the decision by Parliament must be made by an affirmative vote of not less than two thirds of all the members of Parliament, confirming that the President is guilty of the charges against him.

(e) In the event of Parliament deciding that the President is guilty as charged, the Speaker shall so inform the President, and the National Electoral Commission; whereupon the President is required to resign not later than three days after the adoption of such a resolution by Parliament.
 
Hizo process na wahusika wa hizo process ni tatizo zaidi ya tatizo lenyewe.
 
Hatujafikia huko Mkuu, ngoja serikali itoe tamko lake, habari hii ni ya upande mmoja, ngoja story iwe kwenye mizania (i-balance).
 
46A.-(1) Bila ya kujali masharti ya ibara ya 46 ya Katiba hii,
Bunge linaweza kupitisha azimio la kumuondoa Rais madarakani
endapo itatolewa hoja ya kumshtaki Rais na ikapitishwa kwa
mujibu wa masharti ya ibara hii.
(2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya ibara hii, hoja
yoyote ya kumshtaki Rais haitatolewa isipokuwa tu kama
inadaiwa kwamba Rais-
Sheria ya …. (a) ametenda vitendo ambavyo kwa jumla vinaivunja
Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma;
(b) ametenda vitendo ambavyo vinakiuka maadili
yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya siasa
yaliyotajwa katika ibara ya 20(2) ya Katiba, au
(c) amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais
wa Jamhuri ya Muungano, na haitatolewa hoja ya
namna hiyo ndani ya miezi kumi na miwili tangu hoja
kama hiyo ilipotolewa na ikakataliwa na Bunge.

(3) Bunge halitapitisha hoja ya kumshtaki Rais isipokuwa tu
kama-
(a) taarifa ya maandishi, iliyotiwa sahihi na kuungwa
mkono na Wabunge wasiopungua asilimia ishirini ya
Wabunge wote itawasilishwa kwa Spika siku
thelathini kabla ya kikao ambapo hoja hiyo
inakusudiwa kutolewa Bungeni, ikifafanua makosa
aliyoyatenda Rais, na ikipendekezwa kuwa Kamati
Maalum ya Uchunguzi iundwe ili ichunguze
mashataka yaliyowasilishwa dhidi ya Rais;

(b) wakati wowote baada ya Spika kupokea taarifa
iliyotiwa sahihi na Wabunge na kujiridhisha kuwa
masharti ya Katiba kwa ajili ya kuleta hoja
yametimizwa, Spika atamruhusu mtoa hoja
kuiwasilisha hoja hiyo, na kisha Spika atalitaka
Bunge, bila ya kufanya majadiliano, lipige kura juu ya
hoja ya kuunda Kamati Maalum ya Uchunguzi na
kama ikiungwa mkono na Wabunge waiopungua
theluthi mbili ya Wabunge wote atatangaza majina ya
wajumbe wa Kamati Maalum ya Uchunguzi.
(4) Kamati Maalum ya Uchunguzi, kwa madhumuni ya ibara
hii, itakuwa na wajumbe wafuatao, yaani-
(a) Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, ambaye
atakuwa ndiye Mwenyekiti wa Kamati;
(b) Jaji Mkuu wa Tanzania Zanzibar na
(c) Wajumbe saba walioteuliwa na Spika kwa mujibu wa
Kanuni za Bunge na kwa kuzingatia uwiano wa
uwakilishi baina ya vyama vya siasa
vinavyowakilishwa Bungeni.
(5) Endapo Bunge litapitisha hoja ya kuunda Kamati Maalum
ya Uchunguzi, Rais atahesabiwa kuwa hayupo kazini, kisha kazi
na madaraka ya Rais yatatekelezwa kwa mujibu wa masharti ya
ibara ya 37(3) ya Katiba hii hadi Spika atakapomfahamisha Rais
juu ya azimio la Bunge kuhusiana na mashataka yaliyotolewa
dhidi yake.
(6) Ndani ya siku saba baada ya Kamati Maalum ya Uchuguzi
kuundwa, itakaa ichunguze na kuchambua mashataka dhidi ya
Rais, pamoja na kumpatia Rais fursa ya kujieleza, kwa kufuata
utaratibu uliowekwa na Kanuni za Bunge.
(7) Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile katika muda
usiozidi siku tisini, Kamati Maalum ya Uchunguzi itatoa taarifa
yake kwa Spika.
(8) Baada ya Spika kupokea taarifa ya Kamati Maalum ya
Uchunguzi, taarifa hiyo itawasilishwa Bungeni kwa kufuata
utaratibu uliowekwa na Kanuni za Bunge.
(9) Baada ya taarifa ya Kamati Maalum ya Uchunguzi
kuwasilishwa kwa mujibu wa ibara ndogo ya (8), Bunge litaijadili
taarifa hiyo na litampa Rais fursa ya kujieleza, na kisha, kwa kura
za Wabunge wasiopungua theluthi mbili ya Wabunge wote,
Bunge litapitisha azimio ama kuwa mashtaka dhidi ya Rais
yamethibitika, na kwamba hastahili kuendelea kushika kiti cha
Rais, au kuwa mashtaka hayo hayakuthibitika.
(10) Endapo Bunge litapitisha azimio kuwa mashtaka dhidi ya
Rais yamethibitika na kwamba hastahili kuendelea kushika kiti
cha Rais, Spika atawafahamisha Rais na Mwenyekiti wa Tume
ya Uchaguzi juu ya azimio la Bunge, na hapo Rais atawajibika
kujiuzulu kabla ya kuisha kwa siku ya tatu tangu Bunge
lilipopitisha azimio hilo.
(11) Endapo Rais ataacha kushika kiti cha Rais kutokana na
mashataka dhidi yake kuthibitika, hatakuwa na haki ya kupata
malipo yoyote ya pensheni wala kupata haki au nafuu nyinginezo
alizo nazo kwa mujibu wa Katiba au Sheria yoyote iliyotungwa na
Bunge.
 
Wadau, mtu mwenye kujua mchakato mzima wa kikatiba wa kumu-impeach Raisi alie madarakani na hatimae kumvua madaraka atuweke hapa sambamba na ufafanuzi wa ziada kuhusiana na mchakato huo.

Watalaamu mtasaidie maana kusoma tu vipengele husika vya katiba na kanuni husika za Bunge kuhusu jambo hili bila maelezo mengine ya ziada ( ya kisheria, n.k) ni wazi hakutoshi japo kunatoa mwanga fulani hivyo wanaolewa mchakato mzima watuelimishe.

Ni wakati wa kuwaza tofauti sasa.
Muulize Zitto alifikia wapi hahahahhaha
 
Back
Top Bottom