Kwa mujibu wa Katiba Lissu amepoteza sifa ya kugombea Urais na Ubunge 2020

KWA MUJIBU WA KATIBA LISSU AMEPOTEZA SIFA YA KUGOMBEA URAIS NA UBUNGE 2020.

Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255 784 482 959 .

Ndugai anasema moja kati ya makosa mawili yaliyopelekea Lissu kufutwa ubunge ni kosa la kutojaza taarifa za mali na madeni.

Kosa hili kwa mujibu wa ibara ya 67(2)( d ) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kosa la kuvunja Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Ibara hiyo imeeleza kuwa mbunge yeyote anakosa sifa za kuendelea kuwa mbunge au kuchaguliwa kuwa mbunge ikiwa atakuwa amekiuka ama kuvunja sheria hiyo ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Zaidi, ibara hiyo imeweka wazi kuwa, mtu huyo ataendelea kukosa sifa ya kuwa mbunge au kutochaguliwa kuwa mbunge katika kipindi cha miaka mitano tokea siku alipovunja sheria hiyo ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Maana yake ukiivunja Sheria hiyo ya Maadili ya Viongozi wa Umma leo 2019 basi tunahesabu miaka mitano tokea leo 2019 ambayo itakuwa hadi 2024(kama sijakosea hesabu) ndipo sasa unakuwa na sifa tena ya kuweza kugombea na kuchaguliwa kuwa mbunge. Kwahiyo Lissu atakosa sifa hii ya kuwa au kugombea tena ubunge hadi 2024.

TWENDE KWENYE URAIS.
Ibara ya 39( 1 ) ( d ) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imebainisha wazi kuwa moja ya sifa kuu ya kugonbea kiti cha rais wa Jamhuri ya Muungano ni kuwa na sifa ya kuwa Mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi.

Maana yake, ili uweze kuwa na sifa ya kuwania kiti cha rais lazima kwanza uwe na sifa za kuwa mbunge au Mjumbe Baraza la Wawakilishi, na unapokosa sifa ya kuwa mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi basi unakosa pia na sifa ya kuwania kiti cha Rais.

Kwahiyo kama Lissu amepoteza sifa ya kuwa mbunge hadi 2024 basi amepoteza pia sifa ya kuwania kiti cha Rais hadi 2024 kadhalika.

Hivyo basi Lissu hataweza kugombea ubunge hadi hiyo 2024, lakini pia hataweza kugonbea urais hadi 2024.

Hii ndio Calculation ya Kisheria na ndio ukweli hadi itakapotamkwa vinginevyo na vyombo vyenye mamlaka.
Napo sawa atasubiri kwani 2024 mbali? Siku hazigandi
 
Kumbe lissu tishio Sana kwa CCM naamini mungu anataka kutuonyesha muujiza kupitia lissu
 
Sijui kwanini kitendo cha kuachishwa au kufutwa ubunge Mh TAL hakijanishtua wala sina wasi wasi wowote. na Wala sijawahi kulizungumzia mahali popoylte zaidi ya hii comment yangu.

Ukweli ni.kwamba pamoja na haya yote Lissu ni Lissu tu wanatwanga maji kwenye kinu.
 
Eti amepoteza sifa ya kungombea urais ,ni mpuuzi pekeee anayeweza amini kuwa Tunda Lisso anaweza kuwa rais Wa JMT,
Na ni mpuuzi anayeweza kutoamini kuwa Lissu ni rais Wa jmt 2020!
Nikuulize, hao waliowahi kuwa marais walishushwa kutoka mawinguni? Bogus argument!
 
Akigeuka huku kea mwanasheria mkuu wa serikalib profesa wa Sheria profess kilangi akigeuka huku anakutana na waziri wa Sheria na katiba na maalimu wa zamani chuo kikuu Dr mahiga akigeuka mambo ya nchi za nje anakutana na profesa wa Sheria profesa kabudi patamu hapo

..wote hao walijaribu kupambana na TL.

..waliposhindwa wakajaribu kumfunga.

..lakini mchakato wa mahakama ni mrefu, hivyo ikabidi itumike shotcut RISASI.

..zimeshindwa risasi, sasa wanataka kumzuia asishiriki uchaguzi.
 
Na bado DHAMBI ya kutaka kumuuwa lisu hipo inawasubili kwa MUNGU. haya MASHETANI yataulizwa kwanini mlitaka kumuuwa lisu? Sijui yatamjibu nini MUNGU
 
KWA MUJIBU WA KATIBA LISSU AMEPOTEZA SIFA YA KUGOMBEA URAIS NA UBUNGE 2020.

Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255 784 482 959 .

Ndugai anasema moja kati ya makosa mawili yaliyopelekea Lissu kufutwa ubunge ni kosa la kutojaza taarifa za mali na madeni.

Kosa hili kwa mujibu wa ibara ya 67(2)( d ) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kosa la kuvunja Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Ibara hiyo imeeleza kuwa mbunge yeyote anakosa sifa za kuendelea kuwa mbunge au kuchaguliwa kuwa mbunge ikiwa atakuwa amekiuka ama kuvunja sheria hiyo ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Zaidi, ibara hiyo imeweka wazi kuwa, mtu huyo ataendelea kukosa sifa ya kuwa mbunge au kutochaguliwa kuwa mbunge katika kipindi cha miaka mitano tokea siku alipovunja sheria hiyo ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Maana yake ukiivunja Sheria hiyo ya Maadili ya Viongozi wa Umma leo 2019 basi tunahesabu miaka mitano tokea leo 2019 ambayo itakuwa hadi 2024(kama sijakosea hesabu) ndipo sasa unakuwa na sifa tena ya kuweza kugombea na kuchaguliwa kuwa mbunge. Kwahiyo Lissu atakosa sifa hii ya kuwa au kugombea tena ubunge hadi 2024.

TWENDE KWENYE URAIS.
Ibara ya 39( 1 ) ( d ) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imebainisha wazi kuwa moja ya sifa kuu ya kugonbea kiti cha rais wa Jamhuri ya Muungano ni kuwa na sifa ya kuwa Mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi.

Maana yake, ili uweze kuwa na sifa ya kuwania kiti cha rais lazima kwanza uwe na sifa za kuwa mbunge au Mjumbe Baraza la Wawakilishi, na unapokosa sifa ya kuwa mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi basi unakosa pia na sifa ya kuwania kiti cha Rais.

Kwahiyo kama Lissu amepoteza sifa ya kuwa mbunge hadi 2024 basi amepoteza pia sifa ya kuwania kiti cha Rais hadi 2024 kadhalika.

Hivyo basi Lissu hataweza kugombea ubunge hadi hiyo 2024, lakini pia hataweza kugonbea urais hadi 2024.

Hii ndio Calculation ya Kisheria na ndio ukweli hadi itakapotamkwa vinginevyo na vyombo vyenye mamlaka.

Asante Mwandishi, Bali Kuna Swali najiuliza na ningependa Wana jamii waassist kuclarify (kwa wenye ujuzi juu ya hayo) Kila activity inatakiwa kuwa within a specific period of tym,

Swali langu 1 : Je specific tym limits za mbunge kujaza na kusubmit hyo form kwa tume ya Maadili ni between when and when au hakuna tym constraints for submission.

Swali langu 2 : Je mbunge anatakiwa aijaze hyo fomu during Kila tenure yake ya miaka mitano au ikoje ?

Naomba kuwasilisha
 
huyu mwandishi anadhani mambo ni rahisi kihivyo?
Mtu aliyeko hospitalini anaumwa atajazaje fomu?
Mpuuzi huyo kaandika kifungu kinachomfurahisha yeye na mkewe..pamoja na ubovu wa katiba yetu sitaki kuamini kama hi ho kipengele hakina excuse..hakuna sheria ya namna hiyo..coz yamkini kukawa na mazingira yasiyokwepeka ya kumfanya muhusika ama achelewe au asijaze fomu hiyo mfano kuumwa haswa kulazwa..MPUUZI HUYO ACHANANEN NAE.
 
KWA MUJIBU WA KATIBA LISSU AMEPOTEZA SIFA YA KUGOMBEA URAIS NA UBUNGE
Kosa hili kwa mujibu wa ibara ya 67(2)( d ) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kosa la kuvunja Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Maana yake ukiivunja Sheria hiyo ya Maadili ya Viongozi wa Umma leo 2019 basi tunahesabu miaka mitano tokea leo 2019 ambayo itakuwa hadi 2024(kama sijakosea hesabu) ndipo sasa unakuwa na sifa tena ya kuweza kugombea na kuchaguliwa kuwa mbunge. Kwahiyo Lissu atakosa sifa hii ya kuwa au kugombea tena ubunge hadi 2024.

TWENDE KWENYE URAIS.
Ibara ya 39( 1 ) ( d ) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imebainisha wazi kuwa moja ya sifa kuu ya kugonbea kiti cha rais wa Jamhuri ya Muungano ni kuwa na sifa ya kuwa Mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi.

Hivyo basi Lissu hataweza kugombea ubunge hadi hiyo 2024, lakini pia hataweza kugonbea urais hadi 2024.

Hii ndio Calculation ya Kisheria na ndio ukweli hadi itakapotamkwa vinginevyo na vyombo vyenye mamlaka.
Duh...!
Sasa sisi tuliompendekeza Lissu 2020 ndio kusema ...

P
 
Kila siku jitu napendwa na mipambe yake IMO humu Jiwe anakubalika ,anapendwa ,hakuna rais kama yeye ,ametekeleza longolongo nyingi ,sasa MTU anayekubalika na kupendwa unawafanyia wapinzani wako mizengwe ya nini? .Si sanduku la kura lionyeshe unavyopendwa Jiweeeeeeeee.Unamuogopa mpaka lissu ajabu kabisaaaa .
 
KWA MUJIBU WA KATIBA LISSU AMEPOTEZA SIFA YA KUGOMBEA URAIS NA UBUNGE 2020.

Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255 784 482 959 .

Ndugai anasema moja kati ya makosa mawili yaliyopelekea Lissu kufutwa ubunge ni kosa la kutojaza taarifa za mali na madeni.

Kosa hili kwa mujibu wa ibara ya 67(2)( d ) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kosa la kuvunja Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Ibara hiyo imeeleza kuwa mbunge yeyote anakosa sifa za kuendelea kuwa mbunge au kuchaguliwa kuwa mbunge ikiwa atakuwa amekiuka ama kuvunja sheria hiyo ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Zaidi, ibara hiyo imeweka wazi kuwa, mtu huyo ataendelea kukosa sifa ya kuwa mbunge au kutochaguliwa kuwa mbunge katika kipindi cha miaka mitano tokea siku alipovunja sheria hiyo ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Maana yake ukiivunja Sheria hiyo ya Maadili ya Viongozi wa Umma leo 2019 basi tunahesabu miaka mitano tokea leo 2019 ambayo itakuwa hadi 2024(kama sijakosea hesabu) ndipo sasa unakuwa na sifa tena ya kuweza kugombea na kuchaguliwa kuwa mbunge. Kwahiyo Lissu atakosa sifa hii ya kuwa au kugombea tena ubunge hadi 2024.

TWENDE KWENYE URAIS.
Ibara ya 39( 1 ) ( d ) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imebainisha wazi kuwa moja ya sifa kuu ya kugonbea kiti cha rais wa Jamhuri ya Muungano ni kuwa na sifa ya kuwa Mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi.

Maana yake, ili uweze kuwa na sifa ya kuwania kiti cha rais lazima kwanza uwe na sifa za kuwa mbunge au Mjumbe Baraza la Wawakilishi, na unapokosa sifa ya kuwa mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi basi unakosa pia na sifa ya kuwania kiti cha Rais.

Kwahiyo kama Lissu amepoteza sifa ya kuwa mbunge hadi 2024 basi amepoteza pia sifa ya kuwania kiti cha Rais hadi 2024 kadhalika.

Hivyo basi Lissu hataweza kugombea ubunge hadi hiyo 2024, lakini pia hataweza kugonbea urais hadi 2024.

Hii ndio Calculation ya Kisheria na ndio ukweli hadi itakapotamkwa vinginevyo na vyombo vyenye mamlaka.
Mzee baba umeacha na namba simu kabisa ina maana unajiuza hivi ukiombwa kalio utaoa?
 
hujamuelewa aliposema mpaka itakavyoamuliwa vinginevyo? akishindwa mahakamani ndio kakosa sifa hiyo
Wewe na Bashir Yakub wote hamnazo, akina Dovutwa, Hashim Rungwe na Mziray wanapogombeága urais kila mwaka, wacha kila awamu, ni wabunge wa bunge gani? Achilia mbali maveteran kama akina Ibrahim Limpumba hadi wakaamua kukimbia na fito ya CUF.
johnthebaptist fafanua tafadhali.
 
Mkuu hivi kwanini usikishauri chadema kujikita kueneza sera na mipango mujarabu kuhusu nchi yetu kuliko hivi vihoja vyenu mnavyodandia humu jf?
Tofauti yenu na ccm iko wapi hasa?
Sera mbadala imeshapitishwa na kuchapishwa Mara kwa Mara labda wewe ndio hujaisoma.
Hata hivyo ni yao ili wakishinda waitumie lakini sasa haisaidii kwani mtekelezaji atakuanani?
 
Kwani marekani na uingereza alikoenda kuhutubia alienda akiwa kabebwa kwenye machela?
Hilo ndilo limesumbua mpaka kufikia hatua ya kumvua ubunge! Mwenye akili hujibu hoja na si kujificha kwenye sheria kandamizi zinazokandamiza wapinzani.
 
Back
Top Bottom