Kwa mujibu wa Katiba Lissu amepoteza sifa ya kugombea Urais na Ubunge 2020

Hapa Yale mashaka ni kwa alishambuliwa na kutaka kuuliwa tayari majibu yake yametoka. Kumbe ni ubunge na ujasiri wake ndicho kinawaogopesha watu. Waoga sana hawa watu, mbona mabeberu wanatushinda vitu vingi
 
Aliyeleta mada hajui lolote.

Kujaza fomu ya maadili ni jukumu la mbunge ambaye yupo kazini. Mbunge mgonjwa wakati wote akiwa mgonjwa yupo exempted na wajibu wa mbunge ambaye yupo kazini ikiwa ni pamoja na kuhudhuria vikao vya bunge na kamati.

Kesi ya TL ni moja tu, ni mgonjwa au siyo mgonjwa? Akithibitisha kuwa alikuwa mgonjwa na spika alikuwa anajua, kesi ya maadili itakuwa nayo imekufa.
Mgonjwa anayerandaranda lakini mkono hauwezi kujaza fomu ya tamko la mali
 
Eti amepoteza sifa ya kungombea urais ,ni mpuuzi pekeee anayeweza amini kuwa Tunda Lisso anaweza kuwa rais Wa JMT,
Ndugu, inamaana umeshindwa hata kutofautisha Kati ya KUGOMBEA URAISI NA KUWA RAISI? Au unasahau kuwa wanagombea wengi lakini anachaguliwa mmoja? AU KWAKO WEWE KUGOMBEA URAISI MAANA YAKE NI KUPATA URAISI?
 
RAISI? ndo cheo gani Mkuu?
Ndugu, inamaana umeshindwa hata kutofautisha Kati ya KUGOMBEA URAISI NA KUWA RAISI? Au unasahau kuwa wanagombea wengi lakini anachaguliwa mmoja? AU KWAKO WEWE KUGOMBEA URAISI MAANA YAKE NI KUPATA URAISI?
 
Wewe na Bashir Yakub wote hamnazo, akina Dovutwa, Hashim Rungwe na Mziray wanapogombeága urais kila mwaka, wacha kila awamu, ni wabunge wa bunge gani? Achilia mbali maveteran kama akina Ibrahim Limpumba hadi wakaamua kukimbia na fito ya CUF.
johnthebaptist fafanua tafadhali.
Aisee. Nashauri ungesoma tena ndio umpinge vizuri. Kaandika “Awe na sifa ya kuwa Mbunge” Hajasema kuwa lazima awe Mbunge. Nadhani ungepingana na hicho kipendele kama kipo badala ya kuunda dubwana lingine la kupambana nalo.
 
Nimekupata chifu, ahsante sana.
 
Back
Top Bottom