Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,008
- 103,392
Huku Russia nafaidikaje kwa mfano?
The matter of thinking n living positive
Kufaidika ni lazima uwe hapa nchini, hata ukiwa nje ya nchi kinaeleweka tu. Ni mambo ya connection zaidi.
Huku Russia nafaidikaje kwa mfano?
The matter of thinking n living positive
Kufaidika ni lazima uwe hapa nchini, hata ukiwa nje ya nchi kinaeleweka tu. Ni mambo ya connection zaidi.
mjinga anaelezwa ujinga wake.Mbona inaonekana kama wewe huko kama huyo uliyetumia lugha mbaya dhidhi yake, hayo maneno jiambie wewe
Wakuu, tuwashauri mfunike kombe mwana wa haramu apite! tukianza kumuanika huyo mwenda zake wenu hapa, hamtalala kwa mwaka mzima pengine na zaidi kwa majanga aliyoyasababisha kwa watanzania wenziwe na hata kwa nchi majirani! mnataka salama mkubali tu yaishe...msiendelee kutuchemsha!Kwanza kabisa ni wanachama wenzake ambao walishazoea kupiga madili makubwa. Hawa walishazoea kukwapua mabil ya shilingi na wao huona kama wamekwapua shilingi elfu moja. Hawa walishamchukia sana kwa kuziba mianya yao ya upigaji.
Pili ni wanasiasa wa upinzani ambao baada ya kusambaratisha vyama vyao nao wakawa hoi kisiasa. Na vyama vyao vikwa vimeyumba kisiasa na kiuchumi.
Tatu ni wananchi ambao wengi walimuona kama kiongozi ambae ni dikteta hawa wengi walidai kupoteza jamaa zao au ndugu zao kwa kile kilichodaiwa ni watu wasiojulikana.
Nne ni wafanyabiashara ambao walizoea kuhujumu uchumi kwa kutengeneza bidhaa bandia, kukwepa kodi, wengi walikamatwa na kukwepa kodi na walikuwa magerezani kwa kuhujumu uchumi
Tano ni matapeli na wapigaji hawa walishazoea kulipwa mabilioni ya senti kwa kuwa na kampuni za mfukoni na walikuwa wakilipwa hata kama hawajafanya kazi.
Kwa ujumla kiongozi alikuwa na maadui wengii sana kwa muda mfupi.
Hivi ndivyo Africa ilivyo.
Nilimwelewa Magu....
Uchumi wa nchi na watu uko kwenye infrustructures....
Vingine hivyo sijui demokrasia nini nilikuwa nawasaidia kulia kwa jicho moja
Acha Tanzania iendelee kuwa maskini kuliko itawaliwe na wapuuzi kama yule alipata.Wachina walikwenda hivi kwa miaka isiyopungua 20 na leo tunawaona wako hapa ila sie miaka 5 tu ndg yetu washamuwaisha ahera, haitatokea tukajitegemea watanzania na daima tutaendelea kutawaliwa na kuonewa. Tumechukua upande wa wakataa pema sasa pabaya pametuita rasmi
Yule kiongozi (rip) alikuwa na akili fupi, ndogo na naamini kazi aliyoiparamia ya urais ilikuwa KUBWA kwake na ndo imemuua. Angekubali kuwa mbunge na wazuri mpaka leo angekuwepo hai.Kwanza kabisa ni wanachama wenzake ambao walishazoea kupiga madili makubwa. Hawa walishazoea kukwapua mabil ya shilingi na wao huona kama wamekwapua shilingi elfu moja. Hawa walishamchukia sana kwa kuziba mianya yao ya upigaji.
Pili ni wanasiasa wa upinzani ambao baada ya kusambaratisha vyama vyao nao wakawa hoi kisiasa. Na vyama vyao vikwa vimeyumba kisiasa na kiuchumi.
Tatu ni wananchi ambao wengi walimuona kama kiongozi ambae ni dikteta hawa wengi walidai kupoteza jamaa zao au ndugu zao kwa kile kilichodaiwa ni watu wasiojulikana.
Nne ni wafanyabiashara ambao walizoea kuhujumu uchumi kwa kutengeneza bidhaa bandia, kukwepa kodi, wengi walikamatwa na kukwepa kodi na walikuwa magerezani kwa kuhujumu uchumi
Tano ni matapeli na wapigaji hawa walishazoea kulipwa mabilioni ya senti kwa kuwa na kampuni za mfukoni na walikuwa wakilipwa hata kama hawajafanya kazi.
Kwa ujumla kiongozi alikuwa na maadui wengii sana kwa muda mfupi.
Hivi ndivyo Africa ilivyo.
Kama uchumi n i infrastructures, Nyerere na kina Mandela walikuwa wanamsumbulia nini Kaburu Pieter Botha.