Kwa mtindo huu UKIMWI hautakwisha!

Dah inasikitisha!..kazi ipo...sasa kwa wale wasiomjua ni wangapi wameshapata maambukizi mpya...tuko kwenye kampeni ya kuzuia maambuzi lakin wale waliokwisha pata hawatoi ushirikiano zaidi ya kuendeleza chain. mungu amsamehe na ampe moyo wa huruma awahurumie wengine na kuwalinda
 
Umeongea kitu cha msingi sana
 
Ungepata nafasi ya kuzungumza naye angekwambia jinsi navyomsaidia na kumuheshimu na wala sitaweza kumwambia maneno kama hayo.

Anyway ni maoni yako asante
Hapana DA umekosea! Umeileta hii topic kwa sababu aliyekutongoza ana HIV. Bila kuwa na HIV huyo bwana usingeleta hii thread wala usingemshangaa. Je, huu si unyanyapaaa?? Achilia mbali kwamba umemsaidia sana. Lakini deep down wewe una unyanyapaa na hao unaowahudumia. Unahitaji kubadili mind set yako.
 
Mbona mnamsemea hayo maneno kua haweki status yake hadharini? yaani ki uhalisia kabisa jamaa anaonekana yupo opened ndo maana kamtoke mtu ambaye anajua kabisa hali yake ilivyo! kama ingekua mtu mwingine asingeweza, angeenda kwa hao ambao hawamjui.!

Ukitafakari kwa undani utajua huyo jamaa ni player, kwa sababu kama nia yake ni kupata mtu wa kuishi nae si angetafuta ambaye hayuko comitted aongee nae na wakikubaliana maisha yaendelee. Kumtongoza mke wa mtu kunaonyesha hajali wala hana mapenzi ya kweli.
 
Haya ni mambo ya kawaida kwenye jamii yetu,sioni cha kushangaza hapa ni nini!watu kama hao wapo na wataendelea kuwepo hoja ya kuwa amekutaka naye bado ana hisia haijalishi kuwa ni muathirika au vipi na wewe kuwa umeolewa kwa hiyo usitongozwe tena sidhani kama inawezekana na sitaki kuamini kuwa huyo unayemwita muathirika ndiye wa kwanza kukutongoza toka umeolewa!mbona hujasema wengine waliokutongoza ilhali una mume?kifupi nauchukulia huu uzi kama umemnyanyapaa jamaa na si vinginevyo.
 
Yaani nimejikuta nahurumia kila mdada naye muona no matter what!!! Maana nafikiria kama anaweza kunambia mimi ambaye I know him very well wasiomjua??? Nimekosa raha kabisa kwa siku ya leo mpaka mkoloni ananiuliza kulikoni namwambia Kichwa kinaniuma tu kumbe mawazo yaani sina nguvu kabisa dah!!!!

Mkoloni ndio nani tena
 
Ukitafakari kwa undani utajua huyo jamaa ni player, kwa sababu kama nia yake ni kupata mtu wa kuishi nae si angetafuta ambaye hayuko comitted aongee nae na wakikubaliana maisha yaendelee. Kumtongoza mke wa mtu kunaonyesha hajali wala hana mapenzi ya kweli.
Hapa mkuu inadepend na huyo mke wa mtu anavyo behave, Wangapi humu wameshatongoza wake au waume wa watu?
Mi nnachokwambia hii thread haijaletwa hapa kisa huyo baba katongoza mke wa mtu, ishu ni kwamba "kwa nini atongoze na yeye anajijua ni HIV positive?" we soma vizuri utaelewa tu hii mada ilivyo.
 
Haya ni mambo ya kawaida kwenye jamii yetu,sioni cha kushangaza hapa ni nini!watu kama hao wapo na wataendelea kuwepo hoja ya kuwa amekutaka naye bado ana hisia haijalishi kuwa ni muathirika au vipi na wewe kuwa umeolewa kwa hiyo usitongozwe tena sidhani kama inawezekana na sitaki kuamini kuwa huyo unayemwita muathirika ndiye wa kwanza kukutongoza toka umeolewa!mbona hujasema wengine waliokutongoza ilhali una mume?kifupi nauchukulia huu uzi kama umemnyanyapaa jamaa na si vinginevyo.
Well said, mi nashangaa watu wanashindwa kuelewa point ipo wapi hapa.
 
unyanyapaa wa hali ya juu kabisa unauonesha. labda tupe mwongozo kama wenye vvu hawaruhusiwi kufanya ngono na kama wanaruhusiwi ni kwa watu gani. sema umejisikia vibaya kutongozwa ukiwa mke wa mtu lkn usiweke kipengele cha h.i.v.
lkn tukirudi nyuma ilikuwaje mpaka kakutongoza? isije ukawa unamtega kiaina ndo maana kaamua kuchukuwa maamuzi kama hayo
 
Poa shem.

Huyo jamaa alikuwa anakupimia, si unajua siku zote tunafanya trials.

Ingawa kuna watu naona hawataki kuelewa concern yako. Lakini ndo watanzania hawa wavumilie tutafika tu.
Mwita Maranya, Tuweke ushemeji pembeni hebu niambie concern ya mwanzisha thread hapa ni ipi?
 
Hapa hakuna unyanyapaa wala nini ila ukweli wa mambo ulioelezwa na DA!
utamtongozaje mke wa mtu na kumwambia una mapenzi ya dhati juu yake? Tena ajuae hiv status yako? Hata tukiweka suala la kuwa DA ni mke wa mtu pembeni,ni nani humu ndani awezae date hiv+ person while you are hiv-?
Je hao dada zetu sekondari,vyuo,mtaani,makazini etc wanaambiwa ukweli na huyu jamaa kuhusu hiv status yake? Umefanya jambo jema DA na nashauri ungemripoti kwenye vyombo vya dola ili achunguzwe kwani anaweza kuwa anasambaza ukimwi makusudi kitu ambacho ni kosa kisheria.
Tuache ulimbukeni wa ku label kila kitu unyanyapaa wakati he behaves recklessly!
 
hii ni bahati kwako, imethibitika kabisa kwamba kifo cha ukimwi ni kifo cha kishujaa kabisa. WHO wamesibitisha hii
 
Hapa hakuna unyanyapaa wala nini ila ukweli wa mambo ulioelezwa na DA!
utamtongozaje mke wa mtu na kumwambia una mapenzi ya dhati juu yake? Tena ajuae hiv status yako? Hata tukiweka suala la kuwa DA ni mke wa mtu pembeni,ni nani humu ndani awezae date hiv+ person while you are hiv-?
Je hao dada zetu sekondari,vyuo,mtaani,makazini etc wanaambiwa ukweli na huyu jamaa kuhusu hiv status yake? Umefanya jambo jema DA na nashauri ungemripoti kwenye vyombo vya dola ili achunguzwe kwani anaweza kuwa anasambaza ukimwi makusudi kitu ambacho ni kosa kisheria.
Tuache ulimbukeni wa ku label kila kitu unyanyapaa wakati he behaves recklessly!
Very low my friend.
Nani hapa amesema amelazimishwa ku date na mtu mwenye HIV?
 
Very low my friend. <br />
Nani hapa amesema amelazimishwa ku date na mtu mwenye HIV?
<br />
<br />

Kwani neno kulazimishwa limetumika wapi hapo?
Kila mtu ana haki ya kudate japo kwa watakiwa ona barrier kati yako na mtu alie kwenye ndoa wether positive or negative!
 
Hebu kua mkweli, we hii thread umeielewaje?
 
Back
Top Bottom