Kwa mtindo huu UKIMWI hautakwisha!

Yaani nimejikuta nahurumia kila mdada naye muona no matter what!!! Maana nafikiria kama anaweza kunambia mimi ambaye I know him very well wasiomjua??? Nimekosa raha kabisa kwa siku ya leo mpaka mkoloni ananiuliza kulikoni namwambia Kichwa kinaniuma tu kumbe mawazo yaani sina nguvu kabisa dah!!!!

Kumbe tunaitwa hivi? kwa nini jamani? msaada hapo
 
Sasa wewe dadaa shida unayoipata hapo ni ipi?Umesema umeshaolewa,jibu si ndio hilo??Mweleze kuwa kama hafahamu basi atambue kuwa UMEOLEWA (una mume).Iwapo atarudia hayo matamanioi yake then utatambua kuwa hana nia njema na amekosa nidhamu yeye kama mtu mzima na unaweza kum-expose kama una ushahidi wa kimaandishi(i.e text message) toka kwake,au recorded call(loud mode kisha record).IF HE'S SERIOUS THEN HE NEEDS DRASTIC TREATMENT TO STOP HIM.
Keep us posted.
 
Back
Top Bottom