Kwa mtindo huu UKIMWI hautakwisha!

DA, twende mbele na kurudi nyuma, tukiliacha swala la yeye kukutongoza akijua ww ni mke wa mtu.
kwanza, lazima tukubali ukweli kwamba huyo bwana ni jasiri sana na ni mkweli kwa nafsi yake. Anajua unajua yeye anaishi na VVU, if anything, atakuwa sio mwongo, kama angekuwa mwongo, asingekuwa na ujasiri wa kukutongoza.
Nafikiri huyu bwana atakuwa mkweli kwa wanawake wengine atakaokuwa anawatokea.
Pili, DA, ni wanaume wangapi usiojua status zao ambao wanakutongoza ww au wanawake wengine?
Which one is the lesser evil?

Bigi sikatai wala sikubali au niseme sina hakika kwamba huyu jamaa kuwa mkweli kwa wanawake wengine.
But my question is why now?? wakati mkewe hayupo??? Na mimi ananitakia nini sasa wakati anajua kuwa nina mume siwezi kuishi nae??
Kama sio kutaka kuniharibia maisha?? Nitafanya nae nini sasa??
Kutongozwa ni hatua moja na kukubali ni hatua nyingine. Mie kwa sasa sina wakati wa kutongozana nilishapita huko siku hizi nikutazama na macho huyo wa ndani ananishinda wa nje nitamweza wapi Bigi???
 
Mimi nachoona hapo ni kuwa huyo amedhamiria kuua wengine kitu ambacho najua fika kwamba hata Mungu naye atamuhukumu kwa jambo hilo ingekuwa busara sana kwa hali aliyonayo sasa hivi kuomba baraka na neema za Mwenyezi Mungu kumuwezesha aishi maisha marefu, kutubu dhambi na kufanya malipizi, sasa kama ndio hali iko hivyo sidhani hata kama uwepo wa Mungu upo hapo.

Eehh Mungu Baba tusamehe.

Hilo ndo lililobaki kwa kweli hakuna jinsi
 
Watu wengine hovyooooooooooo!!! kabisa, badala ya kutulia na kumwomba Mungu amwongezee siku za kuishi yeye anafikiria kufa na wengi!!!!
si angeacha basi hata kumeza hizo dawa ili afe mapema? hajiheshimu kabisa huyo mzee, msamehe bure na tumwombee tuu maana hilo ni pepo.
Pole sana DA.

Ndicho kilichobaki
 
Inasikitisha hasa unapokutana na ujumbe wa ajabu kiasi hicho kutoka kwa mtu ambae hujamtarajia kabisa
 
kwani amekwambia atakutia bila kondom?acha unyanyapaaa wewe!!!mpe kitu ale pipi kwa ganda!!
 
wengine wanashabikia na wanaona haki kabisa kwa mtu ambaye unamjua kabisa kuwa ameathirika na then wewe ukalale nae kwa condom
je ikifikia condom imepasuka inakuwaje
na je hata hiyo raha ya sex itakuwepo iwapo unajua kiuhakika kuwa unayesex nae ana huo ugonjwa
 
Heri yako wewe ujuaye HIV status ya huyo jamaa...Nawaonea imani hao wasiojua chochote...ni neema ya Mungu tu itawaokoa.
 
Nashangaa yaani watu wengine sijui wanafikiria kitu gani kushabikia ujinga.

Raha itoke wapi Rocky??? Kwanza utakuwa unafanya huku BP iko juu yanini yote hayo???
 
Heri yako wewe ujuaye HIV status ya huyo jamaa...Nawaonea imani hao wasiojua chochote...ni neema ya Mungu tu itawaokoa.

Hapo ndo panaponihuzunisha Sangara yaani nasikia hata mwili unapata ganzi
 
Nashangaa yaani watu wengine sijui wanafikiria kitu gani kushabikia ujinga.

Raha itoke wapi Rocky??? Kwanza utakuwa unafanya huku BP iko juu yanini yote hayo???

Yaani mi hata unichinje
najua ana ngoma na mimi nikajitumbukize pale
over my dead body sifanyi wala sijui hata kama hiyo hamu itakuwepo
 
Back
Top Bottom