Kuna watu hawana aibu hata kidogo, kwa vile anaona tayari anataka afe na wengi, kibaya zaidi ukute karubuni wadada wengi na kaishatembea nao you never know hali ikoje au circle inazunguka vipi yaani lililobaki ni kumuomba Mungu tu atusaidie na kutulinda vinginevyo hali sio nzuri kabisa. Pole DA.
TF na DA lililobaki kwa kweli ni kuomba sana Mungu maana wengi wanajijua wanao na wanafanya kusudi kabisa kuusambaza kwa watu ambao hawana
Na watu wa aina hiyo hata matumizi ya condom wanapinga kabisa wanataka muende kimya kimya
Ni janga na hasa utumiaji wa hivi vidonge unawafanya watu wanakuwa na afya na hakuna tena ile biashara ya kukondeana
Mr. Rocky hapo umeongea ni kuomba Mungu tu. Na tayari anakunywa ARV kwa mwaka wa tatu sana huwezi hata kumtambua kwa kumuangalia hata kidogo huwezi jua kabisa. Na imagine tu kwa kweli kwa watu kama hawa huu ni uuaji kabisa kiukweli. Eehh Mwenyezi Mungu tusaidie tu kwa kweli maana hakuna cha kufanya zaidi ya maombi
Hapo unaanza kujiuliza ameishapita kwa wangapi, dah mimi nachoka kabisaTF na DA lililobaki kwa kweli ni kuomba sana Mungu maana wengi wanajijua wanao na wanafanya kusudi kabisa kuusambaza kwa watu ambao hawana
Na watu wa aina hiyo hata matumizi ya condom wanapinga kabisa wanataka muende kimya kimya
Ni janga na hasa utumiaji wa hivi vidonge unawafanya watu wanakuwa na afya na hakuna tena ile biashara ya kukondeana
Hapo unaanza kujiuliza ameishapita kwa wangapi, dah mimi nachoka kabisa
Mimi nachoona hapo ni kuwa huyo amedhamiria kuua wengine kitu ambacho najua fika kwamba hata Mungu naye atamuhukumu kwa jambo hilo ingekuwa busara sana kwa hali aliyonayo sasa hivi kuomba baraka na neema za Mwenyezi Mungu kumuwezesha aishi maisha marefu, kutubu dhambi na kufanya malipizi, sasa kama ndio hali iko hivyo sidhani hata kama uwepo wa Mungu upo hapo.Yaani nimejikuta nahurumia kila mdada naye muona no matter what!!! Maana nafikiria kama anaweza kunambia mimi ambaye I know him very well wasiomjua??? Nimekosa raha kabisa kwa siku ya leo mpaka mkoloni ananiuliza kulikoni namwambia Kichwa kinaniuma tu kumbe mawazo yaani sina nguvu kabisa dah!!!!
Msinishambulie sana kwamba namnyanyapaa la hasha hata kidogo.......................
Nimefanya nae kazi kwa ukaribu na kumsaidia sana katika mambo mengi ya kikazi, lakini......................
Nimemshangaa sana jana kunipigia simu na kuniambia ananipenda wakati ana jua fika kuwa nina mume na watoto.....................
Kunitaka sikatai ni hali ya wanaume kumtamani/sijui kumpenda mwanamke......................
Najiuliza anataka kuniweka katika group lake la PLHA au shida yake nini hasa??
Ni mmoja wa chair wa chama cha hawa wenzetu PLHA..................
Na sisi ni moja ya shirika ambalo linawapa msaada mkubwa na support yao yote inatoka kwetu.....................
Nimekosa jibu nakubaki nimeshangaa............................................
Najiuliza je ni kwa sababu mkewe kafariki??
Au nini hasa???
Nilijikuta nataka/natamani kumtukana lakini namuheshimu maana ni sawa na Baba yangu kabisa..................................
Najiuliza kama anaweza kunitongoza mimi ambaye namjua kuwa anaishi na VVU je kwa wasichana wengine wasomjua???...................
Kweli UKIMWI hautakwisha TZ kwa mtindo huu........................................
Wajameni tuwe makini sana......................
Cheers
DA
I think DA ungemsaidia zaidi kwa kumhoji zaidi anakupenda vipi, anakuonaje, na hali yake huwa anahakikishaje usalama (afya) ya wenza wake, yeye na nafasi yake haoni kwamba anakiuka trust ya waliomchagua kuwa leader wao nkMsinishambulie sana kwamba namnyanyapaa la hasha hata kidogo.......................
Nimefanya nae kazi kwa ukaribu na kumsaidia sana katika mambo mengi ya kikazi, lakini......................
Nimemshangaa sana jana kunipigia simu na kuniambia ananipenda wakati ana jua fika kuwa nina mume na watoto.....................
Kunitaka sikatai ni hali ya wanaume kumtamani/sijui kumpenda mwanamke......................
Najiuliza anataka kuniweka katika group lake la PLHA au shida yake nini hasa??
Ni mmoja wa chair wa chama cha hawa wenzetu PLHA..................
Na sisi ni moja ya shirika ambalo linawapa msaada mkubwa na support yao yote inatoka kwetu.....................
Nimekosa jibu nakubaki nimeshangaa............................................
Najiuliza je ni kwa sababu mkewe kafariki??
Au nini hasa???
Nilijikuta nataka/natamani kumtukana lakini namuheshimu maana ni sawa na Baba yangu kabisa..................................
Najiuliza kama anaweza kunitongoza mimi ambaye namjua kuwa anaishi na VVU je kwa wasichana wengine wasomjua???...................
Kweli UKIMWI hautakwisha TZ kwa mtindo huu........................................
Wajameni tuwe makini sana......................
Cheers
DA
Na hizo ndio zinazowadanganya na afya zao kuimarika wanajiona wana kila sababu ya kuuambukiza kwa innocent girls ambao hawajui
Na wanatumia kila aina ya usawishi ikiwamo pesa na starehe na wako tayari hata kuhonga magari na nyumba ili mradi atimize kile anachokitaka
Maana hakuna girls yoyote atakayetamaniwa na hawa jamaa na aahidiwe nyumba au gari halafu asikubali
Ni balaa sana
Najikuta nachukia hata hizo ARV kabisa zinaongeza maambukizi sio siri
I think DA ungemsaidia zaidi kwa kumhoji zaidi anakupenda vipi, anakuonaje, na hali yake huwa anahakikishaje usalama (afya) ya wenza wake, yeye na nafasi yake haoni kwamba anakiuka trust ya waliomchagua kuwa leader wao nk
On the other side DA, watu wenye HIV wanaweza hata kuoa, kuolewa, kuzaa nk iwapo tu watajua namna ya kuishi positively... kwenye ule mkutano mkubwa wa ukimwi wa arusha (four/five years ago) kulikua na mashuhuda wengi tu
My advice.... he needs to know how you feel about his approach, he needs to understand society inamuonaje, he needs to address HIV positive status kwa vitendo na kujaribu kuwa mtulivu
THE MOST IMPORTANT ISSUE HAPA NI WOTE KUJIKINGA KWA NAMNA UNAYOWEZA.... INGAWA SOMETIMES INAKUA NGUMU