Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,082
- 4,260
Msinishambulie sana kwamba namnyanyapaa la hasha hata kidogo.......................
Nimefanya nae kazi kwa ukaribu na kumsaidia sana katika mambo mengi ya kikazi, lakini......................
Nimemshangaa sana jana kunipigia simu na kuniambia ananipenda wakati ana jua fika kuwa nina mume na watoto.....................
Kunitaka sikatai ni hali ya wanaume kumtamani/sijui kumpenda mwanamke......................
Najiuliza anataka kuniweka katika group lake la PLHA au shida yake nini hasa??
Ni mmoja wa chair wa chama cha hawa wenzetu PLHA..................
Na sisi ni moja ya shirika ambalo linawapa msaada mkubwa na support yao yote inatoka kwetu.....................
Nimekosa jibu nakubaki nimeshangaa............................................
Najiuliza je ni kwa sababu mkewe kafariki??
Au nini hasa???
Nilijikuta nataka/natamani kumtukana lakini namuheshimu maana ni sawa na Baba yangu kabisa..................................
Najiuliza kama anaweza kunitongoza mimi ambaye namjua kuwa anaishi na VVU je kwa wasichana wengine wasomjua???...................
Kweli UKIMWI hautakwisha TZ kwa mtindo huu........................................
Wajameni tuwe makini sana......................
Cheers
DA