Kwa Mtindo huu Bongo kwishnei

Kwa Mtindo huu Bongo kwishnei

Vijana wa chuo hawa! shenxyy kabisaa. halafu mbona sioni mguu wa pili wa huyo aliyempakata mwenzie?
Sipingi hawa ni wale wale akina chocolate fleva!
 
Panafanana fanana na shule ivi ama bweni au hostel!!!
 
Jameni huu ni mwezi mtukufu, haya yametoka wapi?



mwezi mtukufu utoke wapi ndugu yangu!!!???

mwezi hauwezi kuwa mtukufu wakati sisi bin adamu ni wachafu wa roho, akili na mwili!!
 
Hawa sio waigizaji kweli? huyo anayecheka ni kama *Makiregani* wa zee komedi vile? Hata hivyo inakera sana wanaume wanapoigiza mambo ya kipuuzi.
 
Back
Top Bottom