Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,770
- 10,650
Mkuu sijaelewa kabisaNimeshamshauri hivyo. Huu mpunga ningeupata baada ya mwezi ningekua mbali sana...
Mkuu sijaelewa kabisaNimeshamshauri hivyo. Huu mpunga ningeupata baada ya mwezi ningekua mbali sana...
Kwa mwaka hela yako imerudi na faida juu. Miaka mwingine unakula faida tu.Fungua barbershop kwa 10ml, unakuwa na viti vitano, kila kitu kwa Week unalipwa 100,000/= kwa week jumla laki tano, ukipiga kwa mwezi una 2ml. Maji umeme na vifaa wanajua nunulia wenyewe. Wewe unahusika ktk matengenezo ya vifaa kama vikiharibika au kuitaji service, kama ac, viti, jenereta, mashine na kulipia kodi ya mwezi tu. Mishahara wanajilipa wenyewe.
Too pettyKama utaona yakufaa fanya hivi:
1.Nunua pikipiki 5 jumla ni milioni 10. Wape vijana kwa mkataba wa kisheria wakupe elfu 10 kwa siku baada ya Mwaka unamwachia pikipiki. ( uwape mkataba wa kisheria akipoteza anakulipa) kwa siku ni 50000 sasa itakuwa 50000×365=18,250,000
Faida kwa mwaka ni 8,250,000
Kwa mwezi ni kama 687,500.
2. Fungua m pesa, tigo pesa airtel money & halopesa mahali vibanda viwili pia usajili laini hapo hapo
Kibanda cha kwanza mtaji 2mil, makadirio ya commission 350,000 ( mfanyakazi laki, kibanda 50,000, umebaki na 200,000)
Kwa hiyo vibanda viwili baada ya kodi na mishahara yao makadirio ya faida ni 200,000×2=400,000 Fanya 350,000 incase of anything.
Milioni 6 Iliyobaki: 3mil weka m pawa au fixed account ikulinde.
Milioni 3 ingine Fungua kaduka flani kadogo lakini ka wadhifa weka vyakula au bidhaa za urembo (au yoyote isiyooza) Soma soko lakini 'ANZIA SOKONI' Hapo utapata hela ya kula daily, vocha, home kuacha elfu 5 kama una familia.
Kwa haraka haraka utakuwa umetengeneza mshahara 687,500(pikipiki)+350,000(m pesa n.k)= 10337500 yaani milioni kila mwezi.
Kumbuka mtaji wako uko pale pale ndugu. Kila la heri na shetani asipite huko maana kazidi. @@@Madam Mwajuma cach madammmmmm
Fungua barbershop kwa 10ml, unakuwa na viti vitano, kila kitu kwa Week unalipwa 100,000/= kwa week jumla laki tano, ukipiga kwa mwezi una 2ml. Maji umeme na vifaa wanajua nunulia wenyewe. Wewe unahusika ktk matengenezo ya vifaa kama vikiharibika au kuitaji service, kama ac, viti, jenereta, mashine na kulipia kodi ya mwezi tu. Mishahara wanajilipa wenyewe.
Kama unahitaji ni pm nikuonyeshe, ninayo moja ina viti vitano na sehemu ya scrub na kuosha nywele.Nimependa hii mkuu, asante
kweli kabisa big up kwa MadamWatz wachache wa aina yako
Kama unahitaji ni pm nikuonyeshe, ninayo moja ina viti vitano na sehemu ya scrub na kuosha nywele.
Nunua I.S.T tatu used kwa mtu lakini zilizo katika hali nzuri kuanzia namba C au D kwa bei ya 7m kila moja. Jumla 21m. Milioni 2 kushughulikia uhamisho wa umiliki na vibali. Jiunge na Uber tafuta vijana watatu mtaani waliomaliza chuo wenye driving licences na upajue kwao wanapoishi na wawe na wadhamini wa kueleweka. Kila siku kila mmoja akuletee Tshs 40k jumla ni 120k kwa siku kwa mwezi ni 3.6 m. Kwa mwaka ni 43,200,000.
Kupakua pesa kwenye mitandao itakuaHabari,naitwa Rajab nimependa hiyo idea ya kuwekeza 5m.Je,ni inafanyikaje mkuu?
Namba yangu ni 0715011609 tuwasiliane tafadhali.
Local adviceKama utaona yakufaa fanya hivi:

Local advice