Wabongo wengi sana wamepoteza maisha South kisa wazulu RIP Omolo Chale makum..! Kapinga na wengine
Mkuu mshana jr, ila mimi namshukuru Mungu nimeyahifadhi, maana mpaka sasa kwa mujibu wa Angaza na Hospitali ya TPDF wakati wa 7, 7 damu yangu ilikuwa safi. Hata hivyo, nilipokuwa nikiamuka asubuhi baada ya kuoga, nikishakunywa chai kabla sijiondoka kwenye kazini au shule, nilikuwa navaa condom moja kwa moja maana huwezi jua wapi utakutana na totozi. Halafu kule mtoto anaambiwa ni marufuku kumnyima mwanaume, tofauti na Tz ambapo anaambiwa ni marufuku kumpa mwamaume, halafu kule wanaume ni wachache na ukiwa mgeni unaweza kurudi hiyo mali ikiwa eroded.
Last edited by a moderator: