Kwa mshahara huu ungekuwa wewe ungebaki na shilingi ngapi kila mwezi?

Mgawanyo.

Ada kwa mwezi ni 72,000/=
Nauli ni 100,000/=
Chakula home 300,000/=
Chakula ofisini 150,000/=
Kodi 100,000/=
Vocha 100,000/=
Mshahara binti 40,000/=
Dharura 100,000/=
Kupoza koo 100,000/=
Sadaka 48,000/=
Jumla 1,062,000/=

Saving 400,000/=
 
Mgawanyo.

Ada kwa mwezi ni 72,000/=
Nauli ni 100,000/=
Chakula home 300,000/=
Chakula ofisini 150,000/=
Kodi 100,000/=
Vocha 100,000/=
Mshahara binti 40,000/=
Dharura 100,000/=
Kupoza koo 100,000/=
Sadaka 48,000/=
Jumla 1,062,000/=

Saving 400,000/
Safi sana mkuu. Mi nashauri hivi viwili:
  • Apunguze kwenye vocha hapo.. Haiwezekani vocha ifanane na kodi ya nyumba.
  • Chakula 300k kwa mwezi yaan 10k kwa siku haiwezekani. Ipandishe kidogo.
 
Ninashauri tu.
1.mtoe mtoto medium mpeleke shule ya kawaida. utakuwa umeokoa karib 500k kwa Mwaka.

2. Rudisha mfanyakazi kwao, ondoa ndugu kwako au utafafanua ndugu anafanya nn kwako ili nikuelewe kwa kina.

3.gawaneni majukumu wewe na mkeo ya nyumba yenu

4.mshahara wako ufanye kama mbegu (mtaji) ya kuwa na miradi mingine ya kukuingizia pesa

5.Asiwepo mtu nyumbani asiye na faida kiuchumi kwa familia...iwe wewe, mkeo hata m(wa)toto.

6. Tumia hii formula 30:30:20:20 (%)

30 - saving
30 - matumizi
20 - dharura
20 - Zaka na Sadaka

Kujibu swali sasa, saving inafaa kuwa 30% ya mapato yako
 
Anza kubuni biashara itakayo fidia chakula, kodi, ada ya shule, usafiri n.k inaweza kusaidia kufanya savings kubwa kwa matumizi ya baadae yenye mipango endelevu kama ujenzi n.k.
 
Ninashauri tu.
1.mtoe mtoto medium mpeleke shule ya kawaida. utakuwa umeokoa karib 500k kwa Mwaka.

2. Rudisha mfanyakazi kwao, ondoa ndugu kwako au utafafanua ndugu anafanya nn kwako ili nikuelewe kwa kina.

3.gawaneni majukumu wewe na mkeo ya nyumba yenu

4.mshahara wako ufanye kama mbegu (mtaji) ya kuwa na miradi mingine ya kukuingizia pesa

5.Asiwepo mtu nyumbani asiye na faida kiuchumi kwa familia...iwe wewe, mkeo hata m(wa)toto.

6. Tumia hii formula 30:30:20:20 (%)

30 - saving
30 - matumizi
20 - Akiba
20 - Zaka na Sadaka

Kujibu swali sasa, saving inafaa kuwa 30% ya mapato yako
Namba 5 nimecheka sana. Yaani kwamba hata kama ni yeye mwenyewe hana faida kiuchumi kwenye familia basi ajiengue ?
 
Salary 1.5 m net
Familia mme, mke, mtoto mmoja, mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja.

Nyumba ya kupanga kodi laki kwa mwezi.

Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka
Malipo awamu tatu.

Mkoa Mwanza
Bora wewe,mwenzio salary slip yangu hiyo hapo,take home ni 270,nina mke,watoto wawili wote wako English Medium Schools ,mfanyakazi wa ndani mmoja na ndugu watatu, nyumba ya kupanga ,150K ,kwa mwezi nipo naishi bila shida
 
Attachments

  • Screenshot_20240510-162451~2.png
    Screenshot_20240510-162451~2.png
    377 KB · Views: 6
Back
Top Bottom