samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,478
- 24,262
Kwani lazima upange nyumba au chumba cha laki moja???? kwani ukikaa tandale ukalipa kodi 30000,, halafu ukawa unajipanga mdogo mdogo??
hiyo 350000 weka 200000 kwa miezi mitatu utakuwa na 600000 fungua kijiwe cha chips mahali,, na miezi mitatu mingine fanya mtaji wa mpesa,, miezi mitatu mingine boresha kijiwe chako cha chips - miezi mitatu mingine fungua kibanda uza hata nyanya,mchele, ikiwezekana rudisha chumba ulale kibandani na dogo wa kibandani - ndani ya miaka minne lazima utoke na hiyo kazi utaona haina maana tena au utakuwa unauwezo wa kusave hadi 1mill kwa mwezi nje ya kazi...
Tatizo mnataka mkae mbezi beach na sinza,, jioni kwenye vipub na club mnataka mtanue na mademu wasaka noti huku vipato vyenu vidogo-- sio lazima utombe kila siku unaweza ukafanya maramoja kwa mwezi tena unatafuta kahaba wa 30000 mpaka asubuhi unakula mzigo bila kusahau condom.. ukiwa mtafutaji tafuta kweli na sio maigizo,, maigizo waachie akina diamond bro.. MSAKA NOTI HUJINYIMA KWA MALENGO MAALUMU...