Mr.Teacher
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 450
- 176
Hujategea mshahara na haupo dsm.
Ingetakiwa uwe na ghorofa bas
Ni kweli kabisa ndugu yangu ila nilikua na majukumu sana nilikua nawasaidia wadogo zangu ambao kwa sasa mmoja yupo Sudan kikazi jeshini na mwingine yupo Barclay bank na mimi kwa sasa namalizia master hapa dar University na pia nimenunua kiwanja kigamboni eneo la tungi.