Kwa mshahara huu kweli nitaweza kujenga nyumba?

Kwa mshahara huu kweli nitaweza kujenga nyumba?

Mshahara 600.000, pango la nyumba 100.000 kwa mwezi, nakula 200.000 kwa mwezi.

Hela ya umeme na maji 25000, nauli 30000 kwa mwezi, sina mpenzi.

Hivi kwa mnaolipwa huo mshahara mmeweza hata kununua kiwanja?

hata TRA waki kuoji unasema una kula laki 2 kwa mwezi si wata kushangaa.
maisha ni plan na zipo kwenye karatasi ilimradi kuziandika tu ziende vipi,sio ndoto za abunuasi
 
Back
Top Bottom