Kwa mshahara huu kweli nitaweza kujenga nyumba?

Kwa mshahara huu kweli nitaweza kujenga nyumba?

Ulikuwaje au uliingia kichwa kichwa ukataja ulipwe bila kufanya Kazi Ndugu????
Nlijikuta nmekua machinga. .na mbaya zaidi bidhaa zao ni gali sana...kuwashawishi watu ni ngumu. ..dawa ya meno 11.000 wakati kwa mangi 1500 ujazo huo huo....body spray 9000 wakati kkoo 4000 zipo nzuri tuu...kama unategemea ikutoe unajidanganya wakubwa ndo wanafaidika tu
 
Poke sana ndio maana nilikwambia mapema ulikosa mwongozo Na sasa tunapoongea Dawa ya meno ni 17,000 Na kwa kuwa tunauza ubora wa bidhaa baada ya kuwafahamisha watu madhara ya Fluoride wanatupigia simu wananunua tu juice sasa hivi ni elfu 55,000
 
Hakuna noma ndugu yangu ila mungu anajua sijamuibia mtu wewe weka tu mipango utafanikiwa tumia pesa hizo za mshahara wekeza kwenye kilimo baadhi ni pia nunua vitu kidogo kidogo kisha utahamaki tu nyumba imekamilika kabla hata haujaanza fanya long term planing ndugu yangu maisha si masiara

Tatizo vijana wengi wanadhani ni rahisi kujenga kwa kupitia mshahara pekee. Hiyo ni ndoto ya mchana kwa mshahara wa 500,000 hadi 900,000/= endapo unategemea mshahara uo huo kwa chakula, pango la nyumba, usafiri na mengine kama hayo.
Cha msingi wekeza kwenye kilimo kama uko kwenye eneo linalofaa kwa kilimo-kuna maeneo ukiwekeza let say 300,000/= unakuwa na uhakika wa kupiga gunia 40 za mpunga ambazo unaweza uza tu baada ya kuvuna na kujinyakulia 2 million piga hesabu sa ukiwekeza laki 9 na ukasubiria bei ya mpunga ikapanda hadi elf 80 hadi laki moja.
 
Hakuna noma ndugu yangu ila mungu anajua sijamuibia mtu wewe weka tu mipango utafanikiwa tumia pesa hizo za mshahara wekeza kwenye kilimo baadhi ni pia nunua vitu kidogo kidogo kisha utahamaki tu nyumba imekamilika kabla hata haujaanza fanya long term planing ndugu yangu maisha si masiara

Tatizo vijana wengi wanadhani ni rahisi kujenga kwa kupitia mshahara pekee. Hiyo ni ndoto ya mchana kwa mshahara wa 500,000 hadi 900,000/= endapo unategemea mshahara uo huo kwa chakula, pango la nyumba, usafiri na mengine kama hayo.
Cha msingi wekeza kwenye kilimo kama uko kwenye eneo linalofaa kwa kilimo-kuna maeneo ukiwekeza let say 300,000/= unakuwa na uhakika wa kupiga gunia 40 za mpunga ambazo unaweza uza tu baada ya kuvuna na kujinyakulia 2 million piga hesabu sa ukiwekeza laki 9 na ukasubiria bei ya mpunga ikapanda hadi elf 80 hadi laki moja.,
 
Kwa hiyo ww hau_sex,yeye amizingatia swala la sex kuwa haliepukiki kwa mwanaume..pesa unatafuta kwaajili ya kujenga maisha yako na ili kupata maganikio ya kweli lazima upitie pagumu

Kweli kabisa mkuu. Anafikiri mafanikio yanakuja kirahisi
 
Mshahara 600.000, pango la nyumba 100.000 kwa mwezi, nakula 200.000 kwa mwezi.

Hela ya umeme na maji 25000, nauli 30000 kwa mwezi, sina mpenzi.

Hivi kwa mnaolipwa huo mshahara mmeweza hata kununua kiwanja?

Ngoja nikwambie kitu mtu wangu kama unategemea mshahara wako kwa maendelea basi ujue utazeeka kwenye nyumba ya kupanga tumia hela kutafuta hela fanya kazi yako kwa uaminifu nunua hisa makampuni mbali mbali coz bado hujaoa itakuwia rahisi sana then biashara mradi hela yako iwe inazunguka na kuzalisha hapo utatoka. kuna watu wanafanya kazi na wanalipwa mara tatu ya hela unayoisemea hapo lakini unakuta hawana maendeleo yoyote coz ya kutegemea mshahara
 
Kweli kabisa...
 
Mshahara mbona mkubwa tu ulitaka ulipwe sh. ngapi ndio ujenge?? weka tu mipango utajenga
 
Kaka huo mshahara ni mkubwa sana maisha ni mipango mimi nalipwa laki saba na kwa sasa nina nyumba ya room nne sebule iliogawanyishwa sehemu ya sitting room na dining vyoo viwili cha kwenye master na kimoja cha public na gari aina ya Toyota raum na nyumba nimepiga ukuta bado sijamalizia tu electricity fence ya mizunguko saba ya waya jipange fresh utaweza kaka

Ulipokea Rushwa
 
Mshahara 600.000, pango la nyumba 100.000 kwa mwezi, nakula 200.000 kwa mwezi.

Hela ya umeme na maji 25000, nauli 30000 kwa mwezi, sina mpenzi.

Hivi kwa mnaolipwa huo mshahara mmeweza hata kununua kiwanja?
bosi unalipwa miasita(600.000)
dah! alafu mshahala unazid matumiz?
naona kama umeme hapo 25000
 
UMESEMA UNALIPWA:

mshahara 600,000/- (am assuming hii ndo take home)

MATUMIZI:

kodi 100,000/-
chakula 200,000/-
umeme 25,000/-
nauli 30,000/-

JUMLA: 355,000/-

BAKI MFUKONI KWAKO KWA ANASA NA KUHONGA TSH. 245,000/- (Hizi ukizitumia vyema unaweza kujenga bro)

HAKUNA uchawi wala ndumba... [HASHTAG]#inawezekana[/HASHTAG] [HASHTAG]#anzaKubadilika[/HASHTAG] wewe kwanza...
bado anko,baba, ndugu jamaa hawajapiga simu na mabachela hawajataka uwachangia waageukapera sasa hicho kilichobak mkuu unahesab unahela kwel
 
Kaka huo mshahara ni mkubwa sana maisha ni mipango mimi nalipwa laki saba na kwa sasa nina nyumba ya room nne sebule iliogawanyishwa sehemu ya sitting room na dining vyoo viwili cha kwenye master na kimoja cha public na gari aina ya Toyota raum na nyumba nimepiga ukuta bado sijamalizia tu electricity fence ya mizunguko saba ya waya jipange fresh utaweza kaka
Ulijipanga vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kazi ukiitumia kama dhamana benki utajenga sema inakupasa uwe na akili

wengi tunafeli ule mkopo wetu wa kwanza tukithibitishwa mtu anachukua hela ndefu anaenda kununulia gari au anaanza direct kujenga

chukua mkopo mzuri uzngushe utafutie buzines trust me utajenga na utamiliki usafir bila stress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikwete ameshusha cement toka 16,000 mpaka 8000..Magufuli atashusha bei ya nondo, matofali, mabati, mbao, misumari....utajenga nyumbayako ndani ya mwaka kwa huohuo mshahara
Magufuli amefaulu kuishusha bei ya cement hadi kufikia 21,000/=, na hivyo vifaa vingine pia kavishusha! Kesho naandamana pekeyangu kupongeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom