Kwa mshahara huu kweli nitaweza kujenga nyumba?

Kwa mshahara huu kweli nitaweza kujenga nyumba?

Na miaka kumi na moja kazini nilikua na save laki nne lakini pia naelekeza pesa zingine kwenye kilimo nina mashamba ekari nane niliyopewa na baba yangu kama urithi na naishi arusha ni mzaliwa wa Arusha na mimi ni mmasai ndugu yangu

Miaka yote 11ukiwa kazin natumain ulikuwa unaish kwa mzazi na kiwanjaa umepewa na pamoja na hayo mashambaa ndo maana umewezaa kujengaa mkuu lakn hiv hiv nduguu inahitaji plan b
 
Na miaka kumi na moja kazini nilikua na save laki nne lakini pia naelekeza pesa zingine kwenye kilimo nina mashamba ekari nane niliyopewa na baba yangu kama urithi na naishi arusha ni mzaliwa wa Arusha na mimi ni mmasai ndugu yangu

Afadhali we umerithishwa mashamba sasa wengine baba zao wananyumba kule mchikjchini kariakoo sasa wafanyaje.
 
nilishaiba nikajenga...ndio maana najua lazima uibe maana hamna namna

Nakuja PM @ ndetia, unifunze mbinu.., bado nna ndoto ya kujenga dream house..., ila mpaka sasa mipango haijanyooka bado!!
 
Acha hizo,huo mshahara ni mkubwa,tatizo ni kwamba unatakiwa uishi kwa bajeti na kulingana na kipato
 
Hivi kila aliyejenga analipwa bilioni? Kila nyumba nzuri tuonayo ni ya mabepari? Unaweza weka mkakati
 
Hakuna noma ndugu yangu ila mungu anajua sijamuibia mtu wewe weka tu mipango utafanikiwa tumia pesa hizo za mshahara wekeza kwenye kilimo baadhi ni pia nunua vitu kidogo kidogo kisha utahamaki tu nyumba imekamilika kabla hata haujaanza fanya long term planing ndugu yangu maisha si masiara

Unachokisema ni kweli mtu una TV, unataka subwoofer, una makochi unataka sofa, kila kitu unataka uwe nacho chenye substute, hata Mimi nimejenga mjengo wa mkubwa mpk watu wanashangaa kwa mshahata huo huo, nasomesha medium, Nina mke, nasaidia wazazi na nakula vizuri. Usikurupuke, anza kutafuta kiwanja hata 2 yrs, tulia after 1 yr anza msingi, tulia fyatua tofali, ziache, tafuta hela ya fund, nunua Bati taratibu nk. Utajenga#Teacher endelea kutoa elimu
 
kaka huo mshahara ni mkubwa sana maisha ni mipango mimi nalipwa laki saba na kwa sasa nina nyumba ya room nne sebule iliogawanyishwa sehemu ya sitting room na dining vyoo viwili cha kwenye master na kimoja cha public na gari aina ya toyota raum na nyumba nimepiga ukuta bado sijamalizia tu electricity fence ya mizunguko saba ya waya jipange fresh utaweza kaka

hawa vijana wenzangu bwana tatizo michepuka na starehe nyingi, laki sita kwa mtu mwenye mipango thabiti siyo hela ya kuchezea.
 
Bora hata WEWE unampango Wa Kununua Kiwanja Ila Kuna Watu Wamepanga Maisha Yao Yote Wanategemea Wakistaafu ndo Waanze Maisha Ya Kujenga
 
Kaka huo mshahara ni mkubwa sana maisha ni mipango mimi nalipwa laki saba na kwa sasa nina nyumba ya room nne sebule iliogawanyishwa sehemu ya sitting room na dining vyoo viwili cha kwenye master na kimoja cha public na gari aina ya Toyota raum na nyumba nimepiga ukuta bado sijamalizia tu electricity fence ya mizunguko saba ya waya jipange fresh utaweza kaka

Mkuu Naomba ramani ya nyumba na kiwanja chako.
 
Kikwete ameshusha cement toka 16,000 mpaka 8000..Magufuli atashusha bei ya nondo, matofali, mabati, mbao, misumari....utajenga nyumbayako ndani ya mwaka kwa huohuo mshahara
Basi Mr teacher atajenga nyumba hata kumi
 
Back
Top Bottom