Bei Mbaya
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 2,262
- 856
Semeni mmekopa but laki sita haiwezi kujenga nyumba kwa maisha ya dar
haya. inatosha Kununulia Altezza na kukesha bar
Semeni mmekopa but laki sita haiwezi kujenga nyumba kwa maisha ya dar
Na miaka kumi na moja kazini nilikua na save laki nne lakini pia naelekeza pesa zingine kwenye kilimo nina mashamba ekari nane niliyopewa na baba yangu kama urithi na naishi arusha ni mzaliwa wa Arusha na mimi ni mmasai ndugu yangu

Kaka huo mshahara ni mkubwa sana maisha ni mipango mimi nalipwa laki saba na kwa sasa nina nyumba ya room nne sebule iliogawanyishwa sehemu ya sitting room na dining vyoo viwili cha kwenye master na kimoja cha public na gari aina ya Toyota raum na nyumba nimepiga ukuta bado sijamalizia tu electricity fence ya mizunguko saba ya waya jipange fresh utaweza kaka
Ungesema hivi tangu mwanzo walau tungekuelewa
Sasa mimi ukiniuliza kuhusu michango mashuleni sijui nikujibu nini maana mimi nilichukua bachelor ya wildlife na ndio naendelea na master yake ndugu yangu msshuleni michango sijui ni ya nani
Na miaka kumi na moja kazini nilikua na save laki nne lakini pia naelekeza pesa zingine kwenye kilimo nina mashamba ekari nane niliyopewa na baba yangu kama urithi na naishi arusha ni mzaliwa wa Arusha na mimi ni mmasai ndugu yangu
Kitu nilichojifunza Tanzania ni kwamba watu wengi wanaojenga ni wale wanaolipwa Mshahara kuanzia laki moja na nusu (150,000) hadi laki nne (400,000). Na wengi wanaolipwa kuanzia laki tano (500,000) huwa wanapenda kwenda kupanga Sinza, Tabata, Mbezi beach, Msasani, Mapipa n.k. Pia nimegundua Tanzania kujenga ni rahisi ajabu, lakini shida ni kumiliki kiwanja.
Nina ndugu yangu yeye anafanya kazi masaki,amepanga g.mboto,amenunua pikipiki ili awahi kufika kazini,wakati angeweza kupanga msasani akaenda kazini kwa miguu na pesa aliyonunulia pikipiki anunue kiwanja....ni mipango tu kwanini mtu uwe na simu tatu jamani
Kupanga msasani inaweza isiwe suluhisho umelinganisha kodi ya gmboto na ya msasani lakini... Ndugu yako alitakiwa apange hapohapo gmboto ila asingenunua pikipiki maana kununua pikipiki ambayo haiingizi hela haifanyi biashara ni kujiongezea gharama zaidi
Nadhani ukiskia msasani unawaza sehemu za watu wa juu tu,msasani kuna uswahilini mkuu tembelea maandazi road
Ok mkuu, basi sikufahama hilo kama hata msasani inawezekana kupata chumba cha elfu 30 ni kutokujua tu asante kwa kunijuza