Mkomamanga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 815
- 190
Katika uchambuzi wako weka na Jedwali la sifa za kujiunga Ualimu, Kilimo na Afya.
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Ualimu[/TD]
[TD]Div IV[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimo[/TD]
[TD]Div I-III[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Afya[/TD]
[TD]Div I-III[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Baada ya hapo tafakari jibu utalipata kirahisi sana ndugu yangu.
sasa km una div1 na ukaamua kusomea fani isiyolipa unalalamika nini mkuu???
hi vi unajua miaka tuliosoma sisi chuo kikuu kulikuwa na vyuo viwili tu SUA na UDSM pekee? watu walio soma CBG na PCB ulikuwa ukikosa Muhimbili kilichobaki ni Education tu? pia ukijaza form una pewa option 3 tu na utakayo chaguliwa ndiyo hiyo hiyo. ndiyo maana wengi walio soma PCB, CBG na PCM walikimbilia Bcom pale UDSM. tafuta kwenye financial institution nyingi hapa tanzania ambao wafanyakazi wake wengi wamesoma science.
Mkuu mbona unaongea as if walim wote nchini wana div3&4? Mimi nina BA ya ualim from Udsm na. O level na A level nilipata div 1. kote na nlitooka na gpa ya 3.4 na mwakani namalizia MBA! sio vizuri ww kuja na generalisation hapa kua walimwana. 4&3. wakati sio jambo la kweli.
kwan ulikua hujui mkuu???
Wewe utakuwa ni tone la mafuta Baharini. Taaluma ya ualimu tunaijua na Sifa za kujiunga huko tunazifahamu ndugu yangu.
aisee km ndo hivyo pole sn mkuu,lkn nadhan umeshahama huko umehamia sekta nyingine zinazolipa zaidi!
Katika uchambuzi wako weka na Jedwali la sifa za kujiunga Ualimu, Kilimo na Afya.
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Ualimu[/TD]
[TD]Div IV[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimo[/TD]
[TD]Div I-III[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Afya[/TD]
[TD]Div I-III[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Baada ya hapo tafakari jibu utalipata kirahisi sana ndugu yangu.
Walimu lazima mfanye kitu ili kuidhihirishia hii serikali dhalimu kwamba nyie ni muhimu kuliko kada nyingine.Acheni woga.
nashukuru nilifanya masters fulani hivi ikanisaidia kubadili historia ya maisha yangu.
aisee km ndo hivyo pole sn mkuu,lkn nadhan umeshahama huko umehamia sekta nyingine zinazolipa zaidi!
hongera sn mkuu!!ila kuna umuhim wa mishahara kwa watumishi wa umma kuongezwa,sio walim tu wenye mishahara duni!!
Wewe uliyeandika haya ni mwalimu kweli au umedandia tu jukwaa ????......Mama.ko mjinga wewe na kwa hayo mawazo yako ya kimaku lazma utakua pu.nga wewe %&#@!&?*.
kwa mujibu wa waraka wa watumishi wa serikali Na 1. Wa mwaka 2013, wenye Kumb. Na.CAC.205/228/01/C/14 wa Julai 2, 2013 uliosainiwa na Katibu mkuu Utumishi Ndugu George D. Yambeshi. Unaoonyesha marekebisho ya mishahara kwa watumishi wa serikali. Katika waraka huu unaendelea kudidimiza kada ya ualimu kulingana na kada zingine kama vile kada ya afya, sheria na kilimo na utafiti ambapo kada hizi hulipwa mishahara mikubwa kuliko ya walimu.
mkuu tutashukuru sana kama utatuambatishia waraka huo ili tuone ukweli wa mambo, kwani itakuwa zana ya kuitumia
je kada zingine wao mishahara yao ikoje nao
NGAZI YA ELIMU UALIMU/ ELIMU KILIMO AFYA Certificate (Cheti) Tsh 344,000/= Tsh 1,060,000/= Tsh 562,000/= Diploma (Stashahada) Tsh 432,500/= Tsh 1,252,000/= Tsh 821,000/= Degree (Shahada) Tsh 589,000/= Tsh 1,473,000/= Tsh 994,000/=
[TD="colspan: 4"] Jedwali hili ni kwa mujibu wa waraka huo uliotajwa hapo juu
[/TD]
lkn wengi walosomea ualim hawakupata div1,na ww km umepata div1 lkn ukasomea ualim basi ww una wito na hutakiwi kulalamika coz umejitakia mwenyewe kua mwalim,so piga kazi mkuu!
lkn wengi walosomea ualim hawakupata div1,na ww km umepata div1 lkn ukasomea ualim basi ww una wito na hutakiwi kulalamika coz umejitakia mwenyewe kua mwalim,so piga kazi mkuu!