hiii kitu mko wa tatu au nne,mna letaa mguu mbili..mkono mojaa na mbavu mojaa na ndizii kamaa nanee kwa kila order,mezani kunaa mjombaa wetu alie nyanyua mikono aka mafta taa,mme kaa grosariii ya MAMA KUBWAA number 4.
hata mimi w end huko ndio mpango mzima tatizo huku nyumba za wageni ni chache saaaaana sio ka kaloleni au makao mapya. si unajua mambo yetu yale ukishakula nyama bia za kutosha lazima ujiburudishe na uumbaji hasa pale makuyuniii anapochomea nyama kuna mabinti wa ukwang'a usipime bia kadhaa tu tayari washaelekea kibla
Wanaume wa Arusha baada ya miaka kama 5-6 ijayo watakuwa wanatembelea wheelchair kwaajili ya kula nyama za mbuzi kutokana na ugonjwa wa GAUTi miguu/mikono/vidole kuvimba na kujaa maji! inabidi serikali ifanye jitahada ya kuwaokoa!

Baba zetu tumekuta wanakula mbuzi na bado wapo, kwa wamasai kila mwisho wa mwezi uwa unakunywa supu ya LOODWA inasafisha cholesterol na gout yote ukitoka hapo uko safi
hata mimi w end huko ndio mpango mzima tatizo huku nyumba za wageni ni chache saaaaana sio ka kaloleni au makao mapya. si unajua mambo yetu yale ukishakula nyama bia za kutosha lazima ujiburudishe na uumbaji hasa pale makuyuniii anapochomea nyama kuna mabinti wa ukwang'a usipime bia kadhaa tu tayari washaelekea kibla
shauri yako wewe limbukeni wa mapenzi kama ni pale unajichukulia uumbaji tayari maumivu yule sista mwenye ile grocery mbona kuna tetesi kaunganishwa na gridi ya taifa na wale wasichana sio wadogo zake wala hawajatoka bush ka mnavyojidanganya walikuwa wanafanya biashara ya kuuza miili yao kaumba morogoro shauri yeenu