Kwa mnaotafuta mchumba/marafiki

Kwa mnaotafuta mchumba/marafiki

Si kweli. Si Mikoa yote Tanzania ina Uwanja maalumu wa kusherehekea maonyesho ya sabasaba kama yanayoendelea sasahivi huko dsm. Ushauri huo unawafaha watu wa dsm na mwanza.
Aidha kwenda sabsaba kutafuta mchumba ni kupoteza muda kama kutafuta mchumba kwenye mitandao.
Suala la mchumba ni suala nyeti sana ni vizuri kumshirikisha Mungu, Mchumba anaweza patikana sehemu yeyote na mara nyingine bila hata kupanga.
Mimi binafsi kamwe sijawahi na wala sitegemei kutoka kwenda sehemu eti kutafuta mchumba. Manake nasikia kuna watu wengine wanakwenda makanisani sio kusali, bali kutafuta wachumba

mikoa ambayo ina uwanja maalumu wa kusherekea saba saba si dar na mwanza. ipo mingi tu.
 
Umenikumbusha kuna jamaa yangu aliachana na mchumba wake wa siku nyingi, akaenda saba saba kujifariji.
Huku akapata msichana mwingine fasts fasta akaanza process za ndoa, akamuoa.
Guess what!!
ndani ya mwaka tuu wakashindwana hatimaye waka'divorce tena kwa ugomvi mkubwa.
Teh teh.. ndo mambo ya fasta fasta hayo

siku ya sabasaba ni siku inayokutanisha watu toka sehemu tofauti badala ya kuangaika kutafuta mchumba kwenye mitandao na kupoteza muda wako.nashauri uende sabasaba unaweza pata mke/mme ukaoa/kuolewa. mikoa yote ina uwanja maalumu wa kusherekea uko utakutana na watu wenye vigezo unavyotaka. kuna rafik yangu aliwaipata mchumba uko.changamkien fursa.
sahihi kabisa mi mwenyewe nimepata watatu na wapo kwenye hati punguzo la msimu huu wa 7,7. nafaudu ila mbaya.
 
jamani nimesoma late sa si inabidi nisubiri hadi next year?very unlucky
No, next year mbali sana jombaa kama upo hapa Dar, da Best place ni Mlimani City jombaa hasa siku za wiki endi wachumba utawaona teele tele kabisa tena wa kila aina..... saba saba ni cha mtoto.....
 
No, next year mbali sana jombaa kama upo hapa Dar, da Best place ni Mlimani City jombaa hasa siku za wiki endi wachumba utawaona teele tele kabisa tena wa kila aina..... saba saba ni cha mtoto.....

hata wa kiume?asante sana kwa taarifa i will make p this wkend labda naweza kutana na KakaJ na mzab
 
Last edited by a moderator:
Si kweli. Si Mikoa yote Tanzania ina Uwanja maalumu wa kusherehekea maonyesho ya sabasaba kama yanayoendelea sasahivi huko dsm. Ushauri huo unawafaha watu wa dsm na mwanza.
Aidha kwenda sabsaba kutafuta mchumba ni kupoteza muda kama kutafuta mchumba kwenye mitandao.
Suala la mchumba ni suala nyeti sana ni vizuri kumshirikisha Mungu, Mchumba anaweza patikana sehemu yeyote na mara nyingine bila hata kupanga.
Mimi binafsi kamwe sijawahi na wala sitegemei kutoka kwenda sehemu eti kutafuta mchumba. Manake nasikia kuna watu wengine wanakwenda makanisani sio kusali, bali kutafuta wachumba

Ni kweli kua mchumba anaweza kupatikana sehemu yoyote.Ila Kuwa na plani na kufanya sala ktk kutafuta mchumba ni kitu muhimu,hata mungu ataona una dhima ya kweli,na utampata mteule,cha msingi utekelezaji wa plani yako usiingilie au kubugudhi maslahi/malengo ya watu wengine,uwe ni kwa nia njema (Plan ya aina yoyote inaweza kufanikiwa au kutofanikiwa).Kutembelea Sehemu kama Vyuoni,77 au 88,Ufukweni mida ya jioni,Msibani,kanisani,msikitini,Sokoni,sehemu za burudani kama mpirani nk,Kwa kutembelea maeneombalimbali kama hayo kunakusaidia wewe ME/KE kujifunza vitu fulani fulani ktk maisha/jamii zaidi ya hilo suala la kutafuta Mchumba..Mungu atakusaidia tu na utapata,kuliko kukosa plani ya suala hili.(Mtembea bure sio mkaa bure huenda akaokota)
 
kila la kheri kwa watafutaji.........
 
No, next year mbali sana jombaa kama upo hapa Dar, da Best place ni Mlimani City jombaa hasa siku za wiki endi wachumba utawaona teele tele kabisa tena wa kila aina..... saba saba ni cha mtoto.....

wachumba wapo ubungo bus terminal.........pale ndo kila kitu..........
 
Duh kama wachumba wanatafutwa hivyo basi kaazi saana,yaani kama unaenda kununua bidhaa!
 
Back
Top Bottom