Kwa mnaotafuta mchumba/marafiki

Kwa mnaotafuta mchumba/marafiki

..true... mitandaoo unaweza chat na demu kumbe KIBIBI KIZEE unapoteza time & energy...over 500,000 miles engine imeliwa. afu ukikutana nae unapiga kona hata kabla hujamsalimia... so good idea....

hahahaaa.....!!!!!!!
 
Nyumba za ibada ndo the best place utampata tu
 
Inahitaji utaalam fulan,tatizo
ukimuon umpenday anakuw ktk watu,kumuongelesha inakuw inshu
ukimvutia muda umempoteza,

unamfata unajifanya uliwai kumuona sehemu lakin ukumbuk wap hivo mnasogea pemben unajifanya unamjua ila ukumbuk vizuri mnapiga story na kubadilishana namba.
 
Nyumba za ibada ndo the best place utampata tu

ndio lakin wako wachache ukitaka vizuri utembee na bznes card unamwambia nakufaham unampa bznes card ili aone namba akubip kisha mnaanza urafik
 
haya mchumba tukutane sa moja kamili getini tufahamiane hadi sa 4 wakifungua tuingie tupapase macho kidogo sa 7 tupate lunch tuondoke sa tisa ukanitambulishe kwa mama jamani kama yupo hapa Dar sio ndio mume mtarajwa?

Aa ngoja kwanza,we nshajua unajua sana kutongoza namtaka Ziltan

harafu ndoa mnafunga 8. 8
 
Last edited by a moderator:
nna rafiki angu anatafuta mke kwa style hii. amezunguka makanisa kibao na the saga continues
 
haya mchumba tukutane sa moja kamili getini tufahamiane hadi sa 4 wakifungua tuingie tupapase macho kidogo sa 7 tupate lunch tuondoke sa tisa ukanitambulishe kwa mama jamani kama yupo hapa Dar sio ndio mume mtarajwa?

Aa ngoja kwanza,we nshajua unajua sana kutongoza namtaka Ziltan

sasa mimi si ndiyo wa ukweli, domo zege utaboreka
 
siku ya sabasaba ni siku inayokutanisha watu toka sehemu tofauti badala ya kuangaika kutafuta mchumba kwenye mitandao na kupoteza muda wako.nashauri uende sabasaba unaweza pata mke/mme ukaoa/kuolewa. mikoa yote ina uwanja maalumu wa kusherekea uko utakutana na watu wenye vigezo unavyotaka. kuna rafik yangu aliwaipata mchumba uko.changamkien fursa.
Si kweli. Si Mikoa yote Tanzania ina Uwanja maalumu wa kusherehekea maonyesho ya sabasaba kama yanayoendelea sasahivi huko dsm. Ushauri huo unawafaha watu wa dsm na mwanza.
Aidha kwenda sabsaba kutafuta mchumba ni kupoteza muda kama kutafuta mchumba kwenye mitandao.
Suala la mchumba ni suala nyeti sana ni vizuri kumshirikisha Mungu, Mchumba anaweza patikana sehemu yeyote na mara nyingine bila hata kupanga.
Mimi binafsi kamwe sijawahi na wala sitegemei kutoka kwenda sehemu eti kutafuta mchumba. Manake nasikia kuna watu wengine wanakwenda makanisani sio kusali, bali kutafuta wachumba
 
haya mchumba tukutane sa moja kamili getini tufahamiane hadi sa 4 wakifungua tuingie tupapase macho kidogo sa 7 tupate lunch tuondoke sa tisa ukanitambulishe kwa mama jamani kama yupo hapa Dar sio ndio mume mtarajwa?

Aa ngoja kwanza,we nshajua unajua sana kutongoza namtaka Ziltan

yap Mchumba kuya huku Pm,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom