Kwa mnaotafuta mchumba/marafiki

Kwa mnaotafuta mchumba/marafiki

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,328
Siku ya sabasaba ni siku inayokutanisha watu toka sehemu tofauti badala ya kuangaika kutafuta mchumba kwenye mitandao na kupoteza muda wako.

Nashauri uende sabasaba unaweza pata mke/mme ukaoa/kuolewa. Mikoa yote ina uwanja maalumu wa kusherekea uko utakutana na watu wenye vigezo unavyotaka.

Kuna rafiki yangu aliwahi pata mchumba huko.

Changamkieni fursa.
 
Duh!! Linaweza kuwa wazo zuri kwa vijana? Kwanini iwe saba saba na wala isiwe kwenye nyumba za ibada, sherehe, misiba, Kumbi za starehe, mashuleni, vyuoni, mitaani nk
 
Umenikumbusha kuna jamaa yangu aliachana na mchumba wake wa siku nyingi, akaenda saba saba kujifariji.
Huku akapata msichana mwingine fasts fasta akaanza process za ndoa, akamuoa.
Guess what!!
ndani ya mwaka tuu wakashindwana hatimaye waka'divorce tena kwa ugomvi mkubwa.
 
siku ya sabasaba ni siku inayokutanisha watu toka sehemu tofauti badala ya kuangaika kutafuta mchumba kwenye mitandao na kupoteza muda wako.nashauri uende sabasaba unaweza pata mke/mme ukaoa/kuolewa. mikoa yote ina uwanja maalumu wa kusherekea uko utakutana na watu wenye vigezo unavyotaka. kuna rafik yangu aliwaipata mchumba uko.changamkien fursa.

wazo zuri
 
Umenikumbusha kuna jamaa yangu aliachana na mchumba wake wa siku nyingi, akaenda saba saba kujifariji.
Huku akapata msichana mwingine fasts fasta akaanza process za ndoa, akamuoa.
Guess what!!
ndani ya mwaka tuu wakashindwana hatimaye waka'divorce tena kwa ugomvi mkubwa.

Hahahaaaa..... Nimejikuta ninacheka utadhani mazuri..!!
 
Duh!! Linaweza kuwa wazo zuri kwa vijana? Kwanini iwe saba saba na wala isiwe kwenye nyumba za ibada, sherehe, misiba, Kumbi za starehe, mashuleni, vyuoni, mitaani nk

sababu sabasaba kuna watu wengi zaidi
 
Inahitaji utaalam fulan,tatizo
ukimuon umpenday anakuw ktk watu,kumuongelesha inakuw inshu
ukimvutia muda umempoteza,
 
..true... mitandaoo unaweza chat na demu kumbe KIBIBI KIZEE unapoteza time & energy...over 500,000 miles engine imeliwa. afu ukikutana nae unapiga kona hata kabla hujamsalimia... so good idea....
 
Inahitaji utaalam fulan,tatizo
ukimuon umpenday anakuw ktk watu,kumuongelesha inakuw inshu
ukimvutia muda umempoteza,

inamaana mkuu wewe huwezi kuanzisha mazungumzo na mwanamke ambaye humfahamu?
 
Kazi kweli kweli!tumefikia hapo jamani!!!unakamata tu na kuondoka nae ukaoe?mmm hatari sana!!
 
inamaana mkuu wewe huwezi kuanzisha mazungumzo na mwanamke ambaye humfahamu?

huw najarib mkuu,
but najarib kuchek kwa weng wasio na wapenz/wachumb approching huwa ni tatizo,
ss plus mazingir ya 77 huwa wanajifanya wako bize,
ukijarib kumsutua utashangaa nyomi la watu linakugeukia
 
kesho ndiyo mwisho tukutane basi kesho jamani....

haya mchumba tukutane sa moja kamili getini tufahamiane hadi sa 4 wakifungua tuingie tupapase macho kidogo sa 7 tupate lunch tuondoke sa tisa ukanitambulishe kwa mama jamani kama yupo hapa Dar sio ndio mume mtarajwa?

Aa ngoja kwanza,we nshajua unajua sana kutongoza namtaka Ziltan
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom