Kwa mlioko ndani mtusaidie. Kwanini viongozi wakubwa wanajificha ficha?

maandamano

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2025
Posts
652
Reaction score
1,388
Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi

Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha

Rais hasikiki wala hajulikani yuko wapi. Leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta.

Ni hatari sana
 
Sijui kama ni mawazo na macho yangu,naona hii serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa,hakuna cha Rais,Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama serikali imekata pumzi
Sioni cha Mawaziri,Wabunge,Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha,Rais wa mchongo hasikiki wala hajulikani yuko wapi,leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta ni hatari sana

View: https://www.instagram.com/p/DUAMPrJiHvR/?img_index=2&igsh=aXJoNzF3djFwMzdw
 
Sijui kama ni mawazo na macho yangu,naona hii serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa,hakuna cha Rais,Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama serikali imekata pumzi
Sioni cha Mawaziri,Wabunge,Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha,Rais wa mchongo hasikiki wala hajulikani yuko wapi,leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta ni hatari sana
Bangi na kujifariji.Pumbavu kwelekweli.Unataka serikali ije ikae nyumbani kwako.
 
Sijui kama ni mawazo na macho yangu,naona hii serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa,hakuna cha Rais,Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama serikali imekata pumzi
Sioni cha Mawaziri,Wabunge,Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha,Rais wa mchongo hasikiki wala hajulikani yuko wapi,leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta ni hatari sana
Acha ife tujue moja.
 
Waziri mkuu humuoni?
Kuna kumuona mtu kwa werevu wake au ujinga wake sasa utaamua mwenyewe,sawa na kusema hakuna mtu aliyewahi kuwa Waziri mkuu bora kama Sokoine au Waziri wa Mambo bora kama Mrema
Sasa waziri mkuu wa sasa unamuweka kwenye viwango vipi?
 
chadema msijidanganye serikali iko macho na ni makini vibaya mnoo
 
Rais ni Taasisi kubwa

Kanisa lilidhani linafanya choko choko dhidi ya samia na kusahau samia siyo mtu samia ni Taasisi kubwa

Matokeo yake wameshindwa
 
Back
Top Bottom