Nimeelewa kuwa nynyiem wametelekeza badala ya kutekeleza ilani yao. Na kwa ninavyowaelewa nyinyiemu huwa hawapendi kuambiwa ukweli. Kwao hoja hujibiwa kwa runguKwani wewe umeelews nini kwenye ujumbe huu?
Halafu jamaa aliyeshika bango dental formula yake ina matege kama Etegwe!Koh!koh!Yaani magufuri sijui atatuambia nini, alijifanya much know sana, kumbe hakujua yeye ni kama mvuke tu, lazima mvua uurudishe chini.