white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,329
- 13,310
kutokana na mfumo wa kurusha matangazo ya tv kubadilika kutoka analogi kuwa digitari kuanzia mwakani,kuna kitu kinanichanganya juu ya haya makampuni ya kutoa huduma hiyo ambayo yapo manne mfano,startimes na ting,leo nimekwenda ktk viwanja vya 77 dsm, nikapitia kupata maelekezo.
sasa hawa Ting wana baadhi tu ya chaneli za hapa bongo nyingine zipo kwenye king'amuzi cha startimes, na sio zote!utakuta chaneli nyingine tena(local)zipo kwenye king'amuzi kingine tena!sasa kama unataka kupata chaneli zote za hapa bongo c itakubidi uwe na ving'amuzi vingi?
Na kila kimoja kina malipo yake ya mwezi!tv zinakuja kuwa anasa kama enzi za mwl.