Kwa mazingira haya Magufuli na Samia wanastahili nishani za kitaifa za kuilinda Tanzania!

Kwa mazingira haya Magufuli na Samia wanastahili nishani za kitaifa za kuilinda Tanzania!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Yapo matukio kadhaa duniani yanayohusu vita vya kiuchumi ambayo kama mtanzania mzalendo na msomi na mwenye kufuatilia vita baridi vya kiuchumi na kikanda unaaswa na kupaswa kuyafuatilia na kuyazingatia kwa kina bila mihemuko ya kiitikadi,kimazoea au kumezeshwa propaganda .

Nimeyetaja matukio haya makusudi ili vizazi na vizazi vya Tanzania viyajadili kwa uhuru na kwa kina.

FOR GREAT THINKERS ONLY!
 
Maswali haya yajibiwe na wanazuoni wa Siasa za kiuchumi na kikanda pamoja na wanahistoria nguli nchini.
 
Vita vya kiuchumi my ass, usilinganishe US/Venezuela na vitu vya kijinga hapa
 
Vita vya kiuchumi my ass, usilinganishe US/Venezuela na vitu vya kijinga hapa
umekasirika kuona kuna Great Thinkers?Jadili hoja kwa utulivu...hoja ni hoja ...propaganda weka pembeni.wewe ni mkongwe mkimya hapa jamvini
 
Tungeomba kujua hilo jaribio la kumuondoa Samia kwa mtazamo wako limeratibiwa na nani, hoja zijengwe hapa.
kwani speech ya Mhe. Rais kwa wazee wa Dar salaam hukuisikia?au hukuizingatia ?
 
umechelea, H.Polepole alishatutajia wahusika wakuu kwa majina kwenye wakati wa Polepole live, hivyo wauwaji tunawajua tayari, ni swala la muda tu watafikiwa ...
 
Yapo matukio kadhaa duniani yanayohusu vita vya kiuchumi ambayo kama mtanzania mzalendo na msomi na mwenye kufuatilia vita baridi vya kiuchumi na kikanda unaaswa na kupaswa kuyafuatilia na kuyazingatia kwa kina bila mihemuko ya kiitikadi,kimazoea au kumezeshwa propaganda .

Nimeyetaja matukio haya makusudi ili vizazi na vizazi vya Tanzania viyajadili kwa uhuru na kwa kina.

FOR GREAT THINKERS ONLY!
Maswali yenyewe yako wapi au umejiuliza na kujijibu?
 
Tungeomba kujua hilo jaribio la kumuondoa Samia kwa mtazamo wako limeratibiwa na nani, hoja zijengwe hapa.
kwani speech ya Mhe. Rais kwa wazee wa Dar salaam hukuisikia?au hukuizingatia
Huyo dictator akiamuliwa kuchomolewa ni kitu kidogo sana kwa Us
Venezuela wamesema hata ukimchukua Rais wao bado watalinda mafuta!tafakari kauli hiyo kwa kina
 
Kama watanzania na wazalendo tunapaswa siku zote kutambua maswahiba yanayowakumba viongozi wetu kutoka kwa mabeberu yaliyokubuhu na yasiojali utu bali maslahi yao tu.
Ukiona viongozi wetu hawa wanasimama wima dhidi ya uchokozi na ukorofi wa kuogofya kutoka kwa mabepari basi yakupasa kuwapongeza na kuwaombea Kwa Mungu.
Na hakika Mungu atawalinda ,kuwaponya na adhabu ya kaburi.
Wengi wetu huwa hatutambui haya ila jicho la wachache huona!

Hata Nyerere hayati alikutana nayo pia.
Tuendelee kuwaombea viongozi wetu na kuwapenda sana kwani wanapitia mengi sana.
Hii inanipa reflection kwa nini mababu zetu hatimaye iliwabidi wanyooshe mikono kwa wadhalimu hawa wenye roho chafu ya ukoloni.

kwenu vijana mnaokabidhiwa vijiti vya kuilinda Tanzania mnapaswa kufanya makubwa sana kuilinda Tanzania dhidi ya adui yule yule mwenye sura ya AI au GEN Z...Hiyo ndio survival yenu na ya identity ya Taifa...kamwe msijichanganye au kuchanganywa na adui anayekuja kwa vazi la kuku wakati ni mwewe.
 
Kama watanzania na wazalendo tunapaswa siku zote kutambua maswahiba yanayowakumba viongozi wetu kutoka kwa mabeberu yaliyokubuhu na yasiojali utu bali maslahi yao tu.
Ukiona viongozi wetu hawa wanasimama wima dhidi ya uchokozi na ukorofi wa kuogofya kutoka kwa mabepari basi yakupasa kuwapongeza na kuwaombea Kwa Mungu.
Na hakika Mungu atawalinda ,kuwaponya na adhabu ya kaburi.
Wengi wetu huwa hatutambui haya ila jicho la wachache huona!
Ni kweli. Ila ni chawa, mwehu na zwazwa anaweza kuwaweka wawili hawa sehemu moja. Mmoja alijenga, jengine sasa linabomoa kila kitu.
 
Back
Top Bottom