Kwa matokeo haya, uongozi mzima wa CHADEMA unapaswa kujitathmini na kuachia madaraka

Club ya Chelsea ilipofanya vibaya viongozi wake waliwajibishwa ,pia Arsenal viongozi wake waliwajibishwa na sasa hizo timu zinafanya vizuri baada ya kuingia uongozi mpya.

Uongozi ni dhamana na uongozi ni matokeo ,kama uongozi wako umekosa ubunifu na unaleta matokeo yanayotishia uhai wa taasisi unayoiongoza ,basi kiungwana tu unatakiwa kuachia ngazi mara moja kupisha mabadikiko chanya.

Binafsi sina chuki yoyote na kiongozi wa sasa wa chadema. ,Ila tu kwa hali ilipofikia viongozi wote wa juu wa chadema waachie ngazi mara moja . Wachaguliwe viongozi wapya wa kukivusha chama

Kwa sasa tangu chaguzi za marudio zianze ,Chadema imeshinda kata moja tu huku ikipoteza mamia ya kata na majimbo mengi..

Hii siyo sawa na jambo hili haliwezi kupita kimyakimya bila kujadiliwa.
....
......NYANOKOKONOUKE
 
Wananchi hawana haki ya kuwachagua wawakilishi wawatakao ni mwendo wa Picha na kivuli tu
 
Club ya Chelsea ilipofanya vibaya viongozi wake waliwajibishwa ,pia Arsenal viongozi wake waliwajibishwa na sasa hizo timu zinafanya vizuri baada ya kuingia uongozi mpya.

Uongozi ni dhamana na uongozi ni matokeo ,kama uongozi wako umekosa ubunifu na unaleta matokeo yanayotishia uhai wa taasisi unayoiongoza ,basi kiungwana tu unatakiwa kuachia ngazi mara moja kupisha mabadikiko chanya.

Binafsi sina chuki yoyote na kiongozi wa sasa wa chadema. ,Ila tu kwa hali ilipofikia viongozi wote wa juu wa chadema waachie ngazi mara moja . Wachaguliwe viongozi wapya wa kukivusha chama

Kwa sasa tangu chaguzi za marudio zianze ,Chadema imeshinda kata moja tu huku ikipoteza mamia ya kata na majimbo mengi..

Hii siyo sawa na jambo hili haliwezi kupita kimyakimya bila kujadiliwa.
Wenzako baada ya uchaguzi badala ya kufanya hiyo tathmini wanafanya ulaghai na Wanachama wao wanawaelewa sana.
 
. Vijana mnatumika vibaya....ukonga/monduli hakukuwa na uchaguzi....ni uhuni wa tume na organ nyingine za serikali,sasa baada ya kufanya walichofanya unakuja kufungua uzi na kuweka takataka zako uonekane nawe ni akili kubwa bure kabisa.
Wwe ndo unatumika vibaya sana. Tupe huo ushahidi wa huo uhuni uliofanyika huko monduli na ukonga. Akili za kuambiwa changanya na za kwako. Nyumbu mkubwa wewe.
 
Unayaamini yanayo tangazwa mkuu!? Binafsi nadhani ni mjinga pekee yake ndiye anae weza kuamini kile kinacho tangazwa kama ni cha kweli, yaani hata ushahidi wa mazingira tu huuoni!? Bastola kukutwa kwenye chumba cha kupigia KURA, gari la mbunge kupigwa risasi halafu katika mazingira hayo hayo bado unaamini kile kilicho tangazwa!? Acha viongozi wetu waendelee kutuona WAJINGA, maanake tunaamini hata mazingaombwe

Bastola iliyokutwa chumba cha kupigia kura unajua alikuwa wakala wa chama gani???
(wakala wa CHADEMA)
 
Club ya Chelsea ilipofanya vibaya viongozi wake waliwajibishwa ,pia Arsenal viongozi wake waliwajibishwa na sasa hizo timu zinafanya vizuri baada ya kuingia uongozi mpya.

Uongozi ni dhamana na uongozi ni matokeo ,kama uongozi wako umekosa ubunifu na unaleta matokeo yanayotishia uhai wa taasisi unayoiongoza ,basi kiungwana tu unatakiwa kuachia ngazi mara moja kupisha mabadikiko chanya.

Binafsi sina chuki yoyote na kiongozi wa sasa wa chadema. ,Ila tu kwa hali ilipofikia viongozi wote wa juu wa chadema waachie ngazi mara moja . Wachaguliwe viongozi wapya wa kukivusha chama

Kwa sasa tangu chaguzi za marudio zianze ,Chadema imeshinda kata moja tu huku ikipoteza mamia ya kata na majimbo mengi..

Hii siyo sawa na jambo hili haliwezi kupita kimyakimya bila kujadiliwa.
Umeeleza vyema mkuu. Tunahitaji upinzani imara. Huu wa sasa hauna tofauti na Jahazi modern taarab.
 
Paka ni paka tu! Unahitaji upinzani imara ujengewe hewani? .toka lini ccm ikahitaji upinzani hata ndani ya chama,kuchagua mwenyekiti tu hamna ni kupeana vijiti....leo unajinasibu unataka upinzani imara...ungekuwa mwepesi ungetumia nguvu kiasi hicho kuuondoa....
 
Umeeleza vyema mkuu. Tunahitaji upinzani imara. Huu wa sasa hauna tofauti na Jahazi modern taarab.
Wwe ndo unatumika vibaya sana. Tupe huo ushahidi wa huo uhuni uliofanyika huko monduli na ukonga. Akili za kuambiwa changanya na za kwako. Nyumbu mkubwa wewe.
Mkishazidiwa kwa hoja ni kutukana tu! Watu wa aina yenu afadhali baba zenu wangetumia condom tu.....
 
Sasa kati ya mimi na wewe nani ametukana hapo? Hivi neno Nyumbu siku hizi ni matusi? Inawezekana labda sijui maana yake vizuri unieleweshe. Halafu unasema tumezidiwa hoja, Hoja ipi? Hizi propaganda zisizokua na ushahidi wowote nazo ni hoja?
 
. Vijana mnatumika vibaya....ukonga/monduli hakukuwa na uchaguzi....ni uhuni wa tume na organ nyingine za serikali,sasa baada ya kufanya walichofanya unakuja kufungua uzi na kuweka takataka zako uonekane nawe ni akili kubwa bure kabisa.
Watu wanazama ukerewe, hata taa hawana, achaneni na hawa punguani
 
Paka ni paka tu! Unahitaji upinzani imara ujengewe hewani? .toka lini ccm ikahitaji upinzani hata ndani ya chama,kuchagua mwenyekiti tu hamna ni kupeana vijiti....leo unajinasibu unataka upinzani imara...ungekuwa mwepesi ungetumia nguvu kiasi hicho kuuondoa....
Mbowe wapinzani wake ndani ya chama wako wapi? Kina Kitila, Zitto, Mwita na wengineo. Wamefukuzwa wote, wanaitwa wasaliti.

We jamaa una kichwa kibovu sana, unasema Uenyekiti wa CCM hauna kupeana vijiti? Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete hawa walikua Wenyeviti wa Chama gani? Chadema ndo haina utaratibu wa kupokezana vijiti na katiba yake ilibadilishwa kuondoa ukomo wa uongozi. Mbowe ni Mwenyekiti toka 2004 mpaka leo.
 
Back
Top Bottom