Kwa matokeo haya, uongozi mzima wa CHADEMA unapaswa kujitathmini na kuachia madaraka

Hii ni dalili ya kichaa! Wenani kakuambia mimi ni Chadema! Mtu akipishana mtazamo na wewe kwa kitu chochote ni Chadema? Wewe focus na nilichoandika. Ulivyoandika ni kama unasisitiza kuwa kuna biashara. Jinga wewe sidhani hata tukikupamtihani wa Darasa la 2 utapasi.
Mtanyoooka tu na biashara ya madawa ya kulevya imepigwa marufuku.
 
Baadae ya h
Leo unasema "Hatutaki" Kesho utashi wa mtu utakapochukuwa maamuzi ya hovyo kwako utaanza kigugumizi.Kuna mtu akiona nyumba ya jirani yake inaungua moto anachekelea kwakudhani huo moto hauwezi kufika kwake.Lakini ndiyo uumbaji wa Mungu, wengine wameumbwa wakiwa hawana uwezo wa kugundua yajayo.
Bora tuendeleee kibabe kibabe tu hivi hivi.Ikija tume huru tutaanguka vibaya.Sie tunatumia hoja za nguvu badala ya nguvu za hoja.Bila ya hoja za nguvu sie ni wepesi sana.
 
Club ya Chelsea ilipofanya vibaya viongozi wake waliwajibishwa ,pia Arsenal viongozi wake waliwajibishwa na sasa hizo timu zinafanya vizuri baada ya kuingia uongozi mpya.

Uongozi ni dhamana na uongozi ni matokeo ,kama uongozi wako umekosa ubunifu na unaleta matokeo yanayotishia uhai wa taasisi unayoiongoza ,basi kiungwana tu unatakiwa kuachia ngazi mara moja kupisha mabadikiko chanya.

Binafsi sina chuki yoyote na kiongozi wa sasa wa chadema. ,Ila tu kwa hali ilipofikia viongozi wote wa juu wa chadema waachie ngazi mara moja . Wachaguliwe viongozi wapya wa kukivusha chama

Kwa sasa tangu chaguzi za marudio zianze ,Chadema imeshinda kata moja tu huku ikipoteza mamia ya kata na majimbo mengi..

Hii siyo sawa na jambo hili haliwezi kupita kimyakimya bila kujadiliwa.
I CHADEMA chini ya Mbowe imekuwa bora sana. Ndio maana nyie Kina Wewe na chama chako mnataka Mbowe aondoke kwa kuwa ni kikwazo. Kuhusu matokeo hawezi fan ya kitu labda ashawishi watu wafanye vurugu au uasi maana matokeo yanapikwa kisha hutangazwa kwa msaada wa police..na hii ni maagizo ya Mkuu kuwa ole wake Mkurugenzi atakaye mtangaza mpinzani mshindi, kwa kuwa aliyewaajiri na kuwapa magari, na kuwalipa ni yeye. Kama vile analipa toka kwny mfuko wake. Hata wewe pamoja na assignment yako kwa Mbowe unajua jua ukweli ila kwakuwa unalipwa kwa kazi hii naomba ni kwambia tunaujua ukweli.
 
Ndio chadema kimekuwa bora kwa kukimbiwa na madiwani na wabunge wake
 
Ndio chadema kimekuwa bora kwa kukimbiwa na madiwani na wabunge wake
Wananunuliwa na kutishwa ushahidi alitoa Nassari mkatumia Vitisho na ubabe kufuta kesi. Na juzi kati ya mliowatisha Hai wametoa ushuhuda. Ajabu mnatumia mabilioni kuunga mkono juhudi za mwenyekitI, ila tochi tu hamwezi nunua matokeo yake ndugu zetu wanakufa maji kwa kukosa usafiri bora na viokozi kama maboya. Aibu yenu. Eti uokoaji stop mpk kesho !!! Mnajua wangapi mmewamalizia kwa kauli yenu na uzembe???
 
Club ya Chelsea ilipofanya vibaya viongozi wake waliwajibishwa ,pia Arsenal viongozi wake waliwajibishwa na sasa hizo timu zinafanya vizuri baada ya kuingia uongozi mpya.

Uongozi ni dhamana na uongozi ni matokeo ,kama uongozi wako umekosa ubunifu na unaleta matokeo yanayotishia uhai wa taasisi unayoiongoza ,basi kiungwana tu unatakiwa kuachia ngazi mara moja kupisha mabadikiko chanya.

Binafsi sina chuki yoyote na kiongozi wa sasa wa chadema. ,Ila tu kwa hali ilipofikia viongozi wote wa juu wa chadema waachie ngazi mara moja . Wachaguliwe viongozi wapya wa kukivusha chama

Kwa sasa tangu chaguzi za marudio zianze ,Chadema imeshinda kata moja tu huku ikipoteza mamia ya kata na majimbo mengi..

Hii siyo sawa na jambo hili haliwezi kupita kimyakimya bila kujadiliwa.
Waache uongozi kwa sababu ya slave trade????
 
Pia wafuasi wengi wa chadema kumbe ni mandezi kabisa...
Leo imekua siku ya kazi na topic kubwa makazini ni uchaguzi, ofisini kwetu kuna wadau wa chadema kadhaa, wanalalamika sana kuwa kura zimeibwa ila ktk saba kati yao ni mmoja tu alienda piga kura, na mchana muda wa lunch mgahawani topic ni hiyo hiyo, nikakutana na chadema na sisiemu wengine, nako cha kushangaza wengi wa sisiemu wamepiga kura ila wengi wa chadema wanadai walijua haya hivyo hawakupoteza muda wao...
Hapa ndio nikajua mchawi ni wao wenyewe..
 
Mwenzao Aida khenan ameshinda ubunge kwenye wakati mgumu sana, si Mbowe wala Lisu aliyeenda kumuombea kura huko Nkasi , acha ale maisha tena bila makato ya kuchangia chama.

Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe ,Msigwa ,Lema ,Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida !
 
Imekwisha hiyo. Kwa kura 1,933,271 ndio watu waende barabarani kumpambania punguani sahauni.Watanzania wote hongereni.
 
Back
Top Bottom