Kwa matokeo haya, uongozi mzima wa CHADEMA unapaswa kujitathmini na kuachia madaraka

Kwa idadi hii kubwa ya vichaa yafaa madaktari bingwa wa afya ya akili wakaachia fani.
 
Mbowe wapinzani wake ndani ya chama wako wapi? Kina Kitila, Zitto, Mwita na wengineo. Wamefukuzwa wote, wanaitwa wasaliti.

We jamaa una kichwa kibovu sana, unasema Uenyekiti wa CCM hauna kupeana vijiti? Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete hawa walikua Wenyeviti wa Chama gani? Chadema ndo haina utaratibu wa kupokezana vijiti na katiba yake ilibadilishwa kuondoa ukomo wa uongozi. Mbowe ni Mwenyekiti toka 2004 mpaka leo.
Kupeana vijiti ndio uchaguzi......zito na mbowe kuna tofauti gani na Nyerere na kambona ...(..marehemu hawa.)...mwalimu aliongoza ccm miaka mingapi?.... Mwenyekiti wa chadema toka lini akachaguluwa na ccm, kuwepo mda mrefu inawahusu nini? Kitila na wenzie mlichowatuma hawakufanikiwa..Mbowe at aendelee kuwa chairman........,nani anaweza kusimama ndani ya mikutano ya ccm akadhubutu kuitetea katiba yenu kwa sasa..mmefyata! ... Ccm inamilikiwa na wanaojiita wazalendo zaidi kwa kutumia nguvu kupambana na fikra mbadala!wewe utabaki kutukana JF tu.
 
Leo Mbowe mnamfananisha na Nyerere? Hivi umezaliwa mwaka gani isije ikawa naongea na darasa la saba hapa napoteza muda wangu. Maana inaonekana hata historia ya nchi yako huijui.
 
Ndiyo maana chadema inakufa nchi nzima
 
Acha akili za kitoto,toka lini ccm ikawa mtetezi wa chadema?Kwanini huongelei mambo ya kishenzi yanayofanyika vituoni?Kweli ccm mmeishiwa critical thinking.
 
Ccm imefika mahala inataka kila taasisi yenyewe ndiyo ichaguwe viongozi.Frustration ikizidi inaitwaje huko kijanini kwenu?
 
Leo Mbowe mnamfananisha na Nyerere? Hivi umezaliwa mwaka gani isije ikawa naongea na darasa la saba hapa napoteza muda wangu. Maana inaonekana hata historia ya nchi yako huijui.
Hahaaaaa, mimi sio kijana wa buku 7 kama wewe unaelala mitandaoni kumtoa mwenyekiti wa chama kisichokuwa chako.uwezo wako wa kusoma na kuelewa ni mdogo sana bila shaka ni product ya div. five aliyemfananisha nyerere Mbowe kaandika wapi?.vijana wadogo mkiwa mitandaoni kwa kazi maalum mnajifanya wakubwa....kachukue buku 7 yako.
 
Baadae ya h
Suala la kutaka tume huru ya uchaguzi halima mashiko.TUTABANANA humu humu.Hatutaki tume huru wala waangalizi wa kimataifa.
Leo unasema "Hatutaki" Kesho utashi wa mtu utakapochukuwa maamuzi ya hovyo kwako utaanza kigugumizi.Kuna mtu akiona nyumba ya jirani yake inaungua moto anachekelea kwakudhani huo moto hauwezi kufika kwake.Lakini ndiyo uumbaji wa Mungu, wengine wameumbwa wakiwa hawana uwezo wa kugundua yajayo.
 
Acha akili za kitoto,toka lini ccm ikawa mtetezi wa chadema?Kwanini huongelei mambo ya kishenzi yanayofanyika vituoni?Kweli ccm mmeishiwa critical thinking.
#Mbowe must Go
 
"Tuliponunua Bombardier mliziita Pangaboi,msifikiri wananchi hawakuwasikia,waliwasikia wakanyamaza wakasema siku yenu ipo"
:
"Tumenunua Boeing mmepinga baadae mkazipanda,wananchi wakasema haina noma mtaingia 18 zetu"
:
"Tumesema tunahitaji kutumia masaa 7 Dar-Dodoma tukasema kwa kufanya hivo tuje na mradi wa reli ya kisasa mmepinga,wananchi wamewasikia na wamewashuhudia wamesema isiwe tabu mtajaa tu kwene kilengeo"
:
"Tukasema tuondoe watumishi hewa wa serekali kuondoa upotevu wa fedha ya umma nalo mkapinga,wananchi wakawanyamazia kama hawawaoni"
:
"Tumejenga fly over tazara kuwaondolea Wananchi Kero ya Folen,mmedhihaki sio fly over ile ni daraja,wananchi wakawachukulia poa"
:
"Tumetia saini uundaji wa meli kubwa kuwahi kutokea Africa mashariki na kati,tumeunda meli mpya Ziwa Tanganyika na ziwa Nyasa za mizigo na abiria,tumeunda vivuko vipya kigamboni na busisi Mwanza,tumetia sign na serekali ya Korea kusini ujenzi wa daraja la coco-beach,fly over ya Ubungo jiwe la msingi limekwisha kuwekwa,tuna mradi wa umeme wa Stigler"
:
"Mambo haya yote Hakuna hata moja mlilounga mkono afu Mnataka Wananchi wawachague kwa kupiga kelele za kupinga tu afu wasiwachague watu ambao wamepitisha mambo haya na kusimamia utekelezaji wake,mnawafanya Wananchi mboya sio....?? "
:
"Kwa huu mwendo wa kupinga kila kitu 2020 mgombea wenu wa Urais hatafikisha hata kura laki moja,endeleeni
Hovyo kabisa, mmepewa dhamana ya kukusanya kodi na kuitumia kutuhudumia. Mmenunua hela mmetumia ya baba zenu! Ndio maana mnaitwa washamba!
 
Dhuluma gani

Ccm kura elfu 77

Chadema kura elf 3 !!

Wizi gani wa tofauti ya kura nyingi hivyo??

Kwa akili ya kawaida tu hizo namba zako zingekuwa sahihi na halisi walioshinda wasingekuwa na haja yakufanya yafuatayo:
  • Kufanya kampeni popote pale.
  • Kutunga sheria za ajabu ajabu ambazo hata mkoloni haku wahi kuziwaza popote duniani
  • Kutumia vyombo vya dola na idara mbalimbali za serikali kulazimisha/kutafuta kutangazwa
  • Kuzuia watu wengine wote kufanya siasa kwa uhuru na bila vizuizi
  • Kununua wabunge na madiwani wa upande wa pili na kisha kuwahonga nafasi zile zile
  • Kuminya vyombo vyote vya kupasha habari raia wake
  • Kubambikia kesi viongozi wote wa kisiasa kiasicha waokushindwa kufanya kazi sawa sawa
  • Kuimalisha ulinzi wa baadhi ya viongozi kushinda hata wale wa sehemu zilizo vitani
  • and the list goes on and on sasa hivi hata kuhesabu mbuzi wangu mpaka nipate ruhusaya idara fulani, kufanya utafiti wowote lazima ruhusa
 
Ccm haipumuwi kwaajili Mbowe,kisa hanunuliki.Masisiem hamuwezi kutuwekea viongozi,chamsingi tafuteni daktari wa vichaa.
Tokea chaguzi zianze ,chadema imeshinda kata moja tu ,zingine zote zimeenda ccm alafu nyumbu bado wanaamini ccm haipumui!!!
 
Tokea chaguzi zianze ,chadema imeshinda kata moja tu ,zingine zote zimeenda ccm alafu nyumbu bado wanaamini ccm haipumui!!!
Unajosikiaga fahari sana kutukana wenzio sio!. Huwezi kufikisha ujumbe bila kutukana.... Watu wengine ni laana hata kwa familia zao wenyewe.
 
Kwa akili ya kawaida tu hizo namba zako zingekuwa sahihi na halisi walioshinda wasingekuwa na haja yakufanya yafuatayo:
  • Kufanya kampeni popote pale.
  • Kutunga sheria za ajabu ajabu ambazo hata mkoloni haku wahi kuziwaza popote duniani
  • Kutumia vyombo vya dola na idara mbalimbali za serikali kulazimisha/kutafuta kutangazwa
  • Kuzuia watu wengine wote kufanya siasa kwa uhuru na bila vizuizi
  • Kununua wabunge na madiwani wa upande wa pili na kisha kuwahonga nafasi zile zile
  • Kuminya vyombo vyote vya kupasha habari raia wake
  • Kubambikia kesi viongozi wote wa kisiasa kiasicha waokushindwa kufanya kazi sawa sawa
  • Kuimalisha ulinzi wa baadhi ya viongozi kushinda hata wale wa sehemu zilizo vitani
  • and the list goes on and on sasa hivi hata kuhesabu mbuzi wangu mpaka nipate ruhusaya idara fulani, kufanya utafiti wowote lazima ruhusa
Huko chadema hamna akili za kujitambua hadi mnunuliwe kama mandazi??
 
Huko chadema hamna akili za kujitambua hadi mnunuliwe kama mandazi??

Hii ni dalili ya kichaa! Wenani kakuambia mimi ni Chadema! Mtu akipishana mtazamo na wewe kwa kitu chochote ni Chadema? Wewe focus na nilichoandika. Ulivyoandika ni kama unasisitiza kuwa kuna biashara. Jinga wewe sidhani hata tukikupamtihani wa Darasa la 2 utapasi.
 
Back
Top Bottom