Kwa matokeo haya tujiandae CCM kubadilisha katiba bungeni ili Magufuli atawale milele

Kwasasa ni dhahiri CCM imedhamiria kushinda majimbo yote ya uchaguzi Tanzania Bara uwe ushindi halali au haramu. Hii ina maana kuwa lolote atakalotaka rais Magufuli pamoja na serikali yake halitapata mkwamo wa namna yoyote ile bungeni.

Tujiandae kwa mabadiliko ya Katiba kumuwezeha Magufuli kutawala kwa awamu nyingi zaidi.
Bunge lililopita walikua pungufu wakashindwa pitisha?
 
Kwasasa ni dhahiri CCM imedhamiria kushinda majimbo yote ya uchaguzi Tanzania Bara uwe ushindi halali au haramu. Hii ina maana kuwa lolote atakalotaka rais Magufuli pamoja na serikali yake halitapata mkwamo wa namna yoyote ile bungeni.

Tujiandae kwa mabadiliko ya Katiba kumuwezeha Magufuli kutawala kwa awamu nyingi zaidi.
Ndio lengo la wizi huu wa kutisha ili lile jizi kuu zibaki mpaka lifie madarakani, ila huenda muumba akaingilia kati na ndivyo itakavyokuwa
 
Mi nlitaka atawale tuu kiboko ya Wazungu kwa hili mi nimempenda Sana Dingi angu.

No shobo na Wazungu hakuna kwenda kwao wala Serikali yake hakuna kwenda.

Na huu ndo mfumo mzurii atawale tuu ili tuone Wazungu wanapumulia Wapii
Wajomba zako wanajua lakini kuwa jiwe ni dingi yako?
 
Sijui ni lini mtajifunza kuwa huwezi chukua nchi kwa propaganda dhaifu kiaai hiki.
 
Kwasasa ni dhahiri CCM imedhamiria kushinda majimbo yote ya uchaguzi Tanzania Bara uwe ushindi halali au haramu. Hii ina maana kuwa lolote atakalotaka rais Magufuli pamoja na serikali yake halitapata mkwamo wa namna yoyote ile bungeni.

Tujiandae kwa mabadiliko ya Katiba kumuwezeha Magufuli kutawala kwa awamu nyingi zaidi.
Atawale tuu maana mpaka sasa Africa hakuna Rais mwenye IQ kama JPM.

Kweli ameweza kukaa madarakani bila kwenda ulaya.

Hata Mama Janet na Mama mzazi walitibiwa Mhimbili.

Leo kina Lisu wanaishi ulaya afu waje wachukue Nchi
 
Hii inawezekana. Kwa mara ya kwanza Tanzania tumezimiwa internet na kuwajoin wenzetu wa Nchi kama Ethiopia, Guinea, Sierra Leone na Sudan.

Yajayo yanaogopesha zaidi.
Kwa msaada wa watu wa china hawa wetu hawawezi zima kama ata kuiba kura kwa kutumia akili hawawezi
 
Kwasasa ni dhahiri CCM imedhamiria kushinda majimbo yote ya uchaguzi Tanzania Bara uwe ushindi halali au haramu. Hii ina maana kuwa lolote atakalotaka rais Magufuli pamoja na serikali yake halitapata mkwamo wa namna yoyote ile bungeni.

Tujiandae kwa mabadiliko ya Katiba kumuwezeha Magufuli kutawala kwa awamu nyingi zaidi.
Mungu ana makusudi yake na tusubiri kuona yajayo baada ya ushindi wa zaidi ya asilimia 90
 
Wajomba zako wanajua lakini kuwa jiwe ni dingi yako?
Tamaduni yangu Mzazi ni yeyotee yule ambae umri unarandana na babangu.

Kweli JPM ni Mzazi tuu anae Jua kusamehee walio mkosea.

Kweli hata iweje mi na mwita babangu tuu.

Kwanza Baba sinaa na ndo baba sasa kwangu
 
Tatizo halikuwa Tanzania Bara. Tatizo lilikuwa Zanzibar ambako hakuwa na 2/3 majority na katika hali ya kawaida hawezi kuipata. Sasa imelazimishiwa. Atapata zaidi ya 2/3 kura za Wabunge wa Bara na Zanzibar na kubadilisha katiba kiulainiiiiiiiii... Sasa wasiomtaka labda wambombee kifo tu.
Kwasasa ni dhahiri CCM imedhamiria kushinda majimbo yote ya uchaguzi Tanzania Bara uwe ushindi halali au haramu. Hii ina maana kuwa lolote atakalotaka rais Magufuli pamoja na serikali yake halitapata mkwamo wa namna yoyote ile bungeni.

Tujiandae kwa mabadiliko ya Katiba kumuwezeha Magufuli kutawala kwa awamu nyingi zaidi.
 
Kwasasa ni dhahiri CCM imedhamiria kushinda majimbo yote ya uchaguzi Tanzania Bara uwe ushindi halali au haramu. Hii ina maana kuwa lolote atakalotaka rais Magufuli pamoja na serikali yake halitapata mkwamo wa namna yoyote ile bungeni.

Tujiandae kwa mabadiliko ya Katiba kumuwezeha Magufuli kutawala kwa awamu nyingi zaidi.
naam
 
Back
Top Bottom