Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

Mkuu Mshana Jr. Bado Tuko kwenye Oktava ya Mwaka mpya 2022. Happy New yr. aithee.
Huo mti uliooneshwa hapo kwenye picha wenye maua makubwa mekundu SIO Mjafari...
nimechukua toka google nadhani pengine kuna kosa ama majina yanaweza kuwa yanafanana
 
emoji1545.png

Poa kaka wa nyika na vome.
 
Mungu ni mwema Watanzania wenzangu maana ishara ya baraka kutoka kwake (Mvua) tunaendelea kuishuhudia, mfano hapa nilipo mimi ni tangu asubuhi mpaka sasa inaendelea kunyesha!

Watu wengi sana wanasumbuliwa na magonjwa ya uvimbe katika sehemu mbalimbali za miili yao, inaweza kuwa tumboni, kwenye utumbo, figo, mirija ya uzazi na sehemu nyingine za mwili. Asilimia kubwa hufanyiwa upasuaji ili kuondoa vimbe hizo na wengine kulingana na unyeti wa sehemu zilipo wanaendelea kuishi kwa matumaini ya kutumia vidonge vya kutuliza maumivu huku siku zikisogea,na asilimia ndogo hupata suluhisho kupitia tiba mbadala na kupona kabisa bila kufanyiwa upasuaji wowote.

Mti huu wa Nsuha (rejea katika picha) unafanya kazi hii ya kuondoa uvimbe mwilini kwa ufanisi mkubwa sana kama utazingatia uandaaji na matumizi yake, kila sehemu yake ni dawa lakini kwa mimi hapa nazungumzia mizizi yake. Mizizi yake huvunwa na kukaushwa (siyo juani) vyema ili isipoteze ubora na baadaye husagwa vizuri kwa ajili ya matumizi.

Mtu mwenye uvimbe wa aina yoyote anaweza kuitumia kwa muda wa mwezi mmoja tu akapata nafuu na kupona kabisa tatizo. Asubuhi na jioni kijiko kimoja cha chai katika maji moto ama uji. ACHA KUPUUZA NA KUDHARAU VITU.

Kuna miti mingi sana yenye uwezo wa kuondoa kabisa vimbe sugu katika mwili wa binadamu, na inaweza hata kuchanganywa miwili ama mitatu kwa ufanisi na ikatoa matokea makuu sana kwa ajili ya kujifunza tutajifunza mmoja baada ya mwingine. Usiogope kujaribu mitishamba ni hazina kubwa sana.

Mungu akubariki!

Ezekiel 47:12.

FB_IMG_16425028555556314.jpg
 
Asante kwa kushea upendo..binafsi naujua huu mti,ni asili ya acacia..najua tu kuwa majani yake ni dawa ya kidonda incase ukipata ajali maporini huko,kidonda kikiwa bado kibichi,unachuma majani yake ,unayatafuna yakilainika unayabandika kwenye kidonda,siku tatu hadi wiki jeraha linabakia historia..
 
Mungu ni mwema Watanzania wenzangu maana ishara ya baraka kutoka kwake (Mvua) tunaendelea kuishuhudia, mfano hapa nilipo mimi ni tangu asubuhi mpaka sasa inaendelea kunyesha!

Watu wengi sana wanasumbuliwa na magonjwa ya uvimbe katika sehemu mbalimbali za miili yao, inaweza kuwa tumboni, kwenye utumbo, figo, mirija ya uzazi na sehemu nyingine za mwili. Asilimia kubwa hufanyiwa upasuaji ili kuondoa vimbe hizo na wengine kulingana na unyeti wa sehemu zilipo wanaendelea kuishi kwa matumaini ya kutumia vidonge vya kutuliza maumivu huku siku zikisogea,na asilimia ndogo hupata suluhisho kupitia tiba mbadala na kupona kabisa bila kufanyiwa upasuaji wowote.

Mti huu wa Nsuha (rejea katika picha) unafanya kazi hii ya kuondoa uvimbe mwilini kwa ufanisi mkubwa sana kama utazingatia uandaaji na matumizi yake, kila sehemu yake ni dawa lakini kwa mimi hapa nazungumzia mizizi yake. Mizizi yake huvunwa na kukaushwa (siyo juani) vyema ili isipoteze ubora na baadaye husagwa vizuri kwa ajili ya matumizi.

Mtu mwenye uvimbe wa aina yoyote anaweza kuitumia kwa muda wa mwezi mmoja tu akapata nafuu na kupona kabisa tatizo. Asubuhi na jioni kijiko kimoja cha chai katika maji moto ama uji. ACHA KUPUUZA NA KUDHARAU VITU.

Kuna miti mingi sana yenye uwezo wa kuondoa kabisa vimbe sugu katika mwili wa binadamu, na inaweza hata kuchanganywa miwili ama mitatu kwa ufanisi na ikatoa matokea makuu sana kwa ajili ya kujifunza tutajifunza mmoja baada ya mwingine. Usiogope kujaribu mitishamba ni hazina kubwa sana.

Mungu akubariki!

Ezekiel 47:12.

View attachment 2086499
Mkuu hongera kwa kutujali picha haioneshi vema majani ya mti huo tafadhali piga picha majani yake kwa karibu
 
Kama ilivyo katika formula mbalimbali za tiba za kisayansi,ndivyo ilivyo pia katika tiba asili kwa kutumia mimea na mitishamba.

Maana yake ni kuwa kuna namna ya kutumia dozi,muda wa dozi ili upone ugonjwa wako,na pia kuna madhara yatokanayo na matumizi ya dawa.

Kwa hiyo unaponunua dawa yoyote ya mitishamba/mimea asilia lazima upate maelezo ya kutosha juu ya mambo hayo.

Dawa za mitishamba zinapaswa kuwa zimeandaliwa katika mazingira ambayo hazitapoteza ubora wake, mfano uvunaji wake,ukaushaji wake na hata namna ya usagaji wake.Kwa hiyo unaweza kutumia dawa ambayo haina ubora wowote kulingana na maandalizi,hii ni sawa na upikaji wa vyakula,lazima uzingatie chakula kisipoteze virutubisho vyake.

Mitishamba hutibu polepole lakini ni kwa uhakika zaidi katika kumaliza na kuweka kinga zaidi juu ya ugonjwa husika. Ingawa pia ipo mitishamba yenye reaction ya haraka zaidi katika mwitikio wa mwili juu ya tatizo linalosumbua.

Jitahidi kutokutumia dawa holela bila kujiridhisha kikamilifu.Mitishamba ni hazina kubwa na ina uwezo wa kutibu magonjwa mengi na makubwa yaliyoshindikana kabisa katika hosp za kisasa.

Wasalaam!
 
Nina tatizo la nguvu za kiume na kibamia. Naomba msaada
Tafuta chanzo cha tatizo lako ndipo unaweza kujitibu vizuri.Yawezekana una magonjwa ya mfumo kama kisukari,Moyo n.k.Yawezekana una changamoto binafsi za maisha n.k.Kwa hiyo ukitibu tatizo la msingi automatically nguvu za kiume zinarejea otherwise uwe ulizaliwa na tatizo hilo.
 
Sasa hili la kibamia litakua linasababishwa na changamoto gani kwa mfano
 
Inategemeana

1.Yawezekana ni maumbile yako tangu kuzaliwa.Hilo huwezi kubadilisha.Ni kama size ya mguu huwezi kulazimisha urefuke uvae kiatu namba 10 badala ya 8.

2.Yawezekana umeathirika na punyeto,kwa baadhi ya watu jambo hili unapoliendekeza kwa muda mrefu,hulegeza uume,na kuufanya uwe dhoofu kila wakati na wakati mwingine kuathiri hormon zinazohusika na kuratibu maumbile ya uume.

3.Kuna watu huwa wana chango ambalo ukiugua bika tiba kwa muda mrefu linaweza kuwa linarudisha maumbile ya uume ndani na kuyafanya kuwa madogo zaidi kadri ya siku na hii huenda sambamba nanutendaji wake wa kazi kwa maana ya nguvu za kiume.

Haya mawili ya mwisho yanaweza kuwa na suluhisho lakini hilo la kwanza ni la Mungu.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mi nimejikuta nipo hivi. Sasa hapo nitajuaje kama ni mipango ya Mungu au chango? Punyeto siyo mambo yangu
 
Back
Top Bottom