relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,188
- 4,765
Shukran mkuu je gari yaweza kufa ringi na gari kuwa na nguvu na ulaji wa mafuta kuwa vilevileVipi mkuu,
Pole kw kukupita bila neno.
Yaonekana leakage na ring ndio zapunguza oili yako. Fanya engine wash ya nguvu ili kuziona leakage kisha mzishughulikie.
Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
Sent using Jamii Forums mobile app