the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,894
- Thread starter
-
- #141
Kitunguu kina siku 45 kwenye kitalu ,booster ndio ziko za kupiga kwenye kitalu seedling starter yenye npk ratio ya 19-19-19, na shambani utapiga booster yenye boron na sulphur kama utakua hujatumia yara winner (npk) ,maana urea na can hazina sulphur wala boron na ni muhimu sana kwa kitunguuMtaalam
nakusalim sana..kuna mdau mmoja nnlikua napitia comments kauliza kua mbegu ya kitunguu anzia siku ile ya kusia,,inatakiwa ikae siku ngapi kwenye kitalu ??
Pia naomba kufahamishwa kua hivi kitunguu huwa kinapigwagwa buster??
Kitunguu kina siku 45 kwenye kitalu ,booster ndio ziko za kupiga kwenye kitalu seedling starter yenye npk ratio ya 19-19-19, na shambani utapiga booster yenye boron na sulphur kama utakua hujatumia yara winner (npk) ,maana urea na can hazina sulphur wala boron na ni muhimu sana kwa kitunguu
Ni mbolea inatengenezwa na Yara ,ni npk ila inavirutubisho nane badala ya vitatu vya kwenye npk za kawaidaAloo asante sana mkuu..
hii yara winner ni kitu gani hiki??
Ni mbolea inatengenezwa na Yara ,ni npk ila inavirutubisho nane badala ya vitatu vya kwenye npk za kawaida
kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo cha mboga,matunda,maua,viungo na dawa.Wataalam na wakulima tukutane hapa
Nipo Igunga nimepanda miche mitano ya zabibu aina ya table kwa ajili ya matumizi ya familia ninapenda kujua namna ya matunzo hadi kuanza kuvuna,namna ya kuzikatia na kama kuna aina gani ya hormones za kupulizia kusaidia bud burstingkwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo cha mboga,matunda,maua,viungo na dawa.Wataalam na wakulima tukutane hapa
Naomba kuuliza, booster gani ni nzuri kwa mchicha? Na unaipiga baada siku ngapi ukishamwaga mchicha?kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo cha mboga,matunda,maua,viungo na dawa.Wataalam na wakulima tukutane hapa
Mchicha utumie booster?Naomba kuuliza, booster gani ni nzuri kwa mchicha? Na unaipiga baada siku ngapi ukishamwaga mchicha?