Kwa maslahi mapana ya Taifa la Tanganyika nawaomba tujadili kwa undani hili jambo la maridhiano

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,869
Reaction score
828,397
Tukijadili kwa kina na kwa mapana yake.. Pengine wahusika wanaweza kuamka usingini na kuelewa
LAKINI kabla ya yote Polepole aliwahi kutuasa tusikubali MARIDHIANO YOYOTE baada ya uchaguzi mkuu wa 29 October 2025
Sasa wachambuzi wenye weledi na ufahamu mpana wanaweza kuja hapa na kutuchambulia, kutufafanunulia na kutupa tafsiri halisi ya neno maridhiano

Nasema hivyo kwakuwa naona ni kama ni neno linalopotoshwa ama kutumika tu kisiasa bila nia ya dhati ama wahusika wa upande mmoja kutolitilia maanani na kujua tafsiri yake halisi
Zaidi ya hapo kuna mkanganyiko ambao tusipoutatua basi hakuna haja kabisa ya kulizungumzia hili neno kwakuwa linaweza kutumika kama njia ya kutuzoeza uongo
Je tunardhiana ama wanaridhiana na akina nani?
Je tafsiri halisi ya neno maridhiano ni ipi?
Je wana uhalali wowote wa kutaka maridhiano
Je tunawatambua kwa nyadhfa zao?
Nknk
Sioni umakini wowote kwenye hili bali lugha nyepesi za kisiasa zilizokosa uhalisia, ukweli na uhalali.. Kinywa haramu hakiwezi kutamka neno halali
Kinachoendelea kwasasa ni malingalinga ya kisiasa kwa ajili ya kusogeza muda na kutuzoeza uwongo na kuvuta muda watu wasahau
Tusikubali kuzoezwa uongo wahuni bado wana nguvu
 
Acha mbwembwe, tukutane ICC
1767337346521.jpg
 
Hawa ni walaghai!
 
Mshana ni hivi Hakuna tena muungano wala maridhiano baada ya tarehe 29
 
Maridhiano ya nini hasa?
Mapatano kati ya watu wawili ama pande mbili zinazosigana
Kuna maridhiano ya vikundi
Kuna madhiriano ya kisiasa
Kuna maridhiano ya kitaifa nk
nafikili tujikite zaidi watu kufikishwa zehegi badala yakuanza kupooza
Kiuhalisia sijapooza bali nataka wajue kwamba tunajua kwamba wanajaribu kupotosha kwa makusudi na kwa nguvu maana halisi ya maridhiano.. In fact ICC haikwepeki hata kama tutaridhiana jinai haifi
 
Mapatano kati ya watu wawili ama pande mbili zinazosigana
Kuna maridhiano ya vikundi
Kuna madhiriano ya kisiasa
Kuna maridhiano

MKU mimi naamini walitakiwa kyridhiana kabla ya uchaguzi
 
Neno Maridhiano linatokana na neno Makubaliano. kabla ya kufikia maridhiano kwanza ni lazima kuwe na makubaliano kwenye jambo ambalo litakuwa mnataka kuridhiana.
Serekali yetu ambayo kiukweli wa Mungu sio halali inataka kufanya makubaliano ili kufikia maridhiano kwenye mambo ambayo inaona hayapo sawa kwa taifa.
Mpaka kufikia Maridhiano kuna sababu ambayo imepelekea kutaka kufanya maridhiano. Japo hawajasema ni matidhiano kwenye nini, lakini kwa mtu anayefatilia siasa za Tanzania anajua kabisa maridhiano yanakuja baada ya matukio yakile kilichoitwa uchaguzi mkuu 30.10.2025, na matukio yaliyofuatia baada ya uchaguzi.

Kukubali tu kufanya mazungumzo na makubaliano na serekali ambayo haikuchaguliwa na watu ni kuipa uhalali ambao ki ukweli haina..
MAridhiano yoyote na serekali hii ambayo si halali hayawezi kunufaisha upande mwingine zaidi ya serekali. Kwa hiyo mnufaika wa kwanza wa maridhiano ni serekali. Na inatafuta kwa nguvu zote uhalali.
MWaka 2001 serekali ya ccm chini ya rais Benjamin Mkapa na ile ya Zanzibar walianzisha kitu kina itwa Muafaka. Muafaka ulikuja baada ya tume ya uchaguzi ya Zanzibar kumtangaza Salmin Amour kuwa mshindi na wananchi walipopinga vyombo vya dola walifanya mauwaji, utekaji na upigaji kwa raia ambao walikuwa wakipinga matokeo ya uchaguzi. Muafaka ule ulikuwa ni kuipa uhalali serekali ya dr komandoo Salmin Amour. Baada ya mwafaka 2005 mambo yakaendelea vile vile.

Kifupi kabisa. Maridhiano yoyote ni kutafuta kuipa uhalali serekali ambayo si halali, uhalali. Na hakuna upande wowote utakao fanikiwa zaidi ya serekali.
Tusikubali kuipa uhalali serekali hii iliyojiweka madarakaninkwa kuuwa ndugu zetu.
 
*Kifupi kabisa. Maridhiano yoyote ni kutafuta kuipa uhalali serekali ambayo si halali, uhalali. Na hakuna upande wowote utakao fanikiwa zaidi ya serekali.
Tusikubali kuipa uhalali serekali hii iliyojiweka madarakaninkwa kuuwa ndugu zetu*

Mapatano kati ya watu wawili ama pande mbili zinazosigana
Kuna maridhiano ya vikundi
Kuna madhiriano ya kisiasa
Kuna maridhiano ya kitaifa nk

Kiuhalisia sijapooza bali nataka wajue kwamba tunajua kwamba wanajaribu kupotosha kwa makusudi na kwa nguvu maana halisi ya maridhiano.. In fact ICC haikwepeki hata kama tutaridhiana jinai haifi
Utafanye maridhiano na watu waliovunja Katiba (kuchoma vituo vya kupigia kura) na kuchoma mali za wananchi? HUo ni woga au kushindwa kuongoza nchi? Wakati tunafanya maridhiano wale wote waliopanga na kutekeleza kuchoma vituo vya kupigia kura na mali nyingine lazima waende jela kwa mujibu ya sheria zetu.
 
*Kifupi kabisa. Maridhiano yoyote ni kutafuta kuipa uhalali serekali ambayo si halali, uhalali. Na hakuna upande wowote utakao fanikiwa zaidi ya serekali.
Tusikubali kuipa uhalali serekali hii iliyojiweka madarakaninkwa kuuwa ndugu zetu*

Tusikubali kufanya maridhiano na wahalifu. Hawa twende nao sambamba na Mahakama mpka tujue nani walipanga na nani walitekeleza
 
Utafanye maridhiano na watu waliovunja Katiba (kuchoma vituo vya kupigia kura) na kuchoma mali za wananchi? HUo ni woga au kushindwa kuongoza nchi? Wakati tunafanya maridhiano wale wote waliopanga na kutekeleza kuchoma vituo vya kupigia kura na mali nyingine lazima waende jela kwa mujibu ya sheria zetu.
Jeshi la polisi kitengo cha kutuliza ghasia wanamafunzo ya aina gani? Vitendea kazi vyao ni vipi?
1. Mbwa
2. Mabomu ya machozi
3. Maji ya kuwasha
4. Risasi za mpira
5. Farasi.
Kwenye kadhia ya 30.10.2025 wakitumia nini?
Solution ilikuwa ni kuua?
 
Back
Top Bottom