Acha wizi wa kazi za watuKwa mara ya kwanza mimi pamoja na timu yangu hapa Rochester, tumeweza kutengeza Animation! naombeni ushauri wenu, Pia usisahau Kusubscribe ukurasa wetu..
kazi nzuri ,kwan hadi katuni ina kua na mwonekano poa kama croods au rango ni nini haswa kinacho tumika ...Kwa mara ya kwanza mimi pamoja na timu yangu hapa Rochester, tumeweza kutengeza Animation! naombeni ushauri wenu, Pia usisahau Kusubscribe ukurasa wetu..
Rango animation zake ni nzuri? za kawaida tu zile, angalia kama FFXV kingsglaive, kama sio mzoefu huwezi jua ni animationkazi nzuri ,kwan hadi katuni ina kua na mwonekano poa kama croods au rango ni nini haswa kinacho tumika ...
mimi ni mpenz wa animation sana nime tolea huo mfano maana animation za namna hioo zina soko..i mean zipo ki biashara zaidi lakini tupambane nasisi tufike sehemu nzuri i wish na mimi ninge kuwepo kwenye hioo familia napenda siku nije kuwa mtengenezaji au mtu ninaye ingiza sautiRango animation zake ni nzuri? za kawaida tu zile, angalia kama FFXV kingsglaive, kama sio mzoefu huwezi jua ni animation
most of time ni engine inayotumika mkuu, pamoja na talent ya mtengenezaji
chaaaaaaa
poa sana, mwanzo mzuri
Hongera
kazi nzuri ,kwan hadi katuni ina kua na mwonekano poa kama croods au rango ni nini haswa kinacho tumika ...
bora hata chief mkwawa umeligundua hilombona hayo majina kama sio ya kibongo? na themes kwa ujumla?
Kwa mara ya kwanza mimi pamoja na timu yangu hapa Rochester, tumeweza kutengeza Animation! naombeni ushauri wenu, Pia usisahau Kusubscribe ukurasa wetu..
Ha haa haaaa Wabongo kwa kupenda sifa!!Sio yako, ilooooo uringe !
Bila shaka anauhusiano na Bashite na babakeHa haa haaaa Wabongo kwa kupenda sifa!!
Kumbe sio yake!
na sifia kumbe ume kopi blazaaaaaKwa mara ya kwanza mimi pamoja na timu yangu hapa Rochester, tumeweza kutengeza Animation! naombeni ushauri wenu, Pia usisahau Kusubscribe ukurasa wetu..