Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa ninavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?

toa sifa za kila mmoja unazompendea
 
Umeshakuwa malaya
 
Nimegundua kumbe una mwanaume mwingine 😬, Leo nakupakia mkongo😂😂
 
Anaogopa matusi..kejeli ..dharau na masimango..atakapo kuwA single mother..

Unafiki kweli mbaya.. ..humu kuna watu mafedhuli mno kwa single mother..kiasi Cha kuvunja moyo kabisa..

Utadhani hizo mimba wanajipa wenyewe..sasa leo..huyo mmoja hataki manyanyaso watu wamemkomalia ile ile...

Zaa mama.inaweza kuwa ni sababu ya nyie kuelewana..au kama una yako mengine...kumbwaga mzee ..Lea mwenyewe..

Huku kwetu tunaoa mwanamke hata kwenye wajukuu..
 
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation.

Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi.

Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5. Huyu kaka mwngine niko naye huu mwezi wa 3. Wote wawili wananiamini sana mpaka sometimes nahisi vibaya kwa ninavofanya lakini sjui nifanye nini, nawapenda wote.

Nifanye nini ili niweze kuchagua mmoja niendelee naye?
Wagongashe tu hakuna namna
 
niongeze na mimi,kisha uwaache hao bawili
 
Mimba ya sasa ni ya yupi?
 
2949331_AEcVK7.jpg
 
Back
Top Bottom