Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

Na mwakani unapita tena watake wasitake 🤣🤣🤣
N’wei mama mbunge nipo hapa wadada nafasi ishajaa mumsubiri Manara labda amuache Zay mkajiweke šŸ¤£šŸ¤£šŸƒā€ā™€ļøšŸƒā€ā™€ļøšŸƒā€ā™€ļøšŸƒā€ā™€ļøšŸƒā€ā™€ļø
Bff si ulisema unanipa huyu we unabaki na yule 🤣
 
Ok kila heri na kugombea ubunge

Ova
yes actually sikumalizia nilichokusudia kusema, ujumbe uliponyoka sijamaliza kuandika but that institution nimeitaja na hao wanasiasa vijana niliwataja wakati wao wanaondoka pale mimi ndio naingia. Nilikuta wamaeandika maandiko, maproposal mengi mno but pia vitabu kuhusu serikali kuu na serikali za mitaa wameandika mno na ndio maana unaona wako vizuri mno kwenye kujieleza kuhusu mambo ya kisiasa, kiuchumi na kijamii......

so,
nami nikashika hatamu na uskani pale CGG, na wakati huo wafadhili walikua hawatoi mkwanja tena kwenye taasisi hii kutokana na matumizi yasioelezeka huko nyuma.....

I tried to write numbers of proposals kuomba fedha kwa wafadhili ili kazi iendelee but, historia ya taasisi ilitukosesha kuaminika tena, kwahiyo mimi sikupiga pesa pale but nilichota experience ya kutosha kuhusu, utawala na uongozi šŸ’
 
Eeh, ameona unatuzebeza bhana.
Kwanini asconclude wakati muanzisha mada umerudi huku kwa wachangiaji kujimix, au mkuu umesahau kuwa mada hii inayoendelea ni yako?
nasoma imotions, facial expressions, body language, rhythm na tone za hadhira kidogo zinauelekeo gani.....

but Lazima iishe kwasabb imeanza tayari šŸ’ šŸ’
 
Back
Top Bottom