Kwa mara ya kwanza, 2018 Tanzania inapata madaktari bingwa wanawake wa upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya fahamu

Daktari atampasua mgonjwa bila hata ya kumuona kabla? Kwani ilikuwa emergency?

Tusitetee uzembe.
kumuona wapi tena daktari hatembei na mgonjwa kwenye makorido huko alishamuona na kutoa order ya maandalizi ya operation yafanyike.....hujaelewa nini sasa hapo.
 
Umenena vema kabisa....kuitwa daktari bingwa hapa imekuwa nongwa kabisa ajabu sana ...badala ya pongeza kwa hawa wadada walioweka historia kumaliza masomo haya ambayo kiukweli lazima uwe umaamua kweli kweli na uwe na kichwa kizuri watu baadhi wanabeza ...nakumbuka heshima kubwa anaipata Dr Ben Carson Afican American ambaye ni Neurosurgeon kama hawa wadada wawili ambaye amekuwa akisafiri nchi mbalimbali duniani kutenganisha watoto ambao wameungana vichwa kutokana na kazi nzuri ambayo aliifanya huko kwao Marekani.

Chukulia ndo mkeo yuko Magomeni Mapipa na amejifungua watoto kama hawa:
View attachment 963831

https://www.washingtonpost.com/life...ory.html?noredirect=on&utm_term=.6d5c10c31918
yani mada imebadilika kabisa...lengo ilikua pongezi,lakini ajabu nikwamba kila mtu yuko busy kulalamika kwanini waitwe mabingwa

Narudia tena....watanzania/waafrika tuna hali wivu na roho mbaya tunaposikia mafanikio ya mtu flani
 
kumuona wapi tena daktari hatembei na mgonjwa kwenye makorido huko alishamuona na kutoa order ya maandalizi ya operation yafanyike.....hujaelewa nini sasa hapo.
Watu kama hao sio wakuwajibu chochote kwani hii sio mada husika...watu wana roho za "kwanini"
 
Daktari bingwa inaashiria kuwa amebobea kwenye eneo analotibu, jina ni la kitambo kidogo. Hii ya wakili msomi ni mbwembwe zisizo na maana hata kidogo. Hili jina limezuka siku za karibuni tu kutokana na vyuo kuzalisha wanasheria uchwara hivyo inferiority complex ikafanya wajiite hivyo.
Learned brothers and sisters siyo ya siku hizi, ni ya zamani na ni itambulisho wa Wanasheria. Dr bingwa anakuwa na Masters na amejikita katika eneo flani la tiba. Ni sawa na mchumi aliyebobea kwenye eneo flani la uchumi. Dr. bingwa ni mbwembwe/swaga, specialist kiswahili chake siyo bingwa.
 
Shahada ya kwanza huwa ni miaka 5 na mwaka 1 wa internship hivyo ni miaka 6 baada ya hapo daktari anatakiwa kufanya kazi miaka 3 kabla ya kwenda kuchukua kozi ya shahada ya pili na kwa kozi hii inaweza hata kuchukua miaka 7 kumaliza neurosurgery hivyo ukichanganya 5 na 7 unapata miaka 12

Hapo chini ni namna ambavyo hao mabingwa wanalipwa huko USA kama kazi ikitangazwa ya fani yao.

The salary range for a neurosurgeon averages $103,279‒$789,182, depending on experience. With bonuses, profit-sharing and commissions, top neurosurgeons can earn more than $800,000 annually.

How Many Years Does it Take to Become a Neurosurgeon?
Hao wanalipwa hivyo US, uwezo wao siyo sawa na hawa wa kwetu. Kwetu elimu kubwa lakini ujuzi wa kawaida sana.
 
Hongera kwa madaktari wetu wahitimu, tunatarajia watakuwa na msaada mkubwa katika nchi yetu kutokana na taaluma yao.
Hii inaonyesha wazi kuwa dada na binti zetu wakiwezeshwa wanaweza.
Tunaomba tusikatishe ndoto za binti zetu za kuendelea kusoma.
 
kumuona wapi tena daktari hatembei na mgonjwa kwenye makorido huko alishamuona na kutoa order ya maandalizi ya operation yafanyike.....hujaelewa nini sasa hapo.
Nani kaongelea "makorido".
Hivi huwa hamuelewi mnachokisoma au ndiyo upunguani?

Hivi kinakushinda nini kuelewa matibabu mpaka kufikia kwa neurosurgeon process inayoaanzia mbali.

Kuna physical conditions ambazo neurosurgeon ni lazima azi diagnose, kuna repeated number of consultations na mgonjwa wake.

Hiyo si operation ya kwenda kutolewa busha.
 
Learned brothers and sisters siyo ya siku hizi, ni ya zamani na ni itambulisho wa Wanasheria. Dr bingwa anakuwa na Masters na amejikita katika eneo flani la tiba. Ni sawa na mchumi aliyebobea kwenye eneo flani la uchumi. Dr. bingwa ni mbwembwe/swaga, specialist kiswahili chake siyo bingwa.
Mazee ungekuwa umepitia post za nyuma ungeona ni nini nilichosema. Nimesema kuwa hiyo tafsiri inapotosha. Ukileta kwenye kiswahili na tunavyoitumia hapa Bongo ni tofauti kabisa. Na ndiyo maana umesema ni ya zamani lakini hapa kwetu ilikuwa inatumika kama ilivyo (kwa kiingereza i.e. Learned...) na hawakuweka neno msomi!
 
Mnaacha kusomesha madaktari wa kuasaidia wnawake kujifungua kwa wingi ili muwaondelee wanawake fedheha ya kuchunguliwa maumbile yao na madaktari wa kiume, mnakazana kujaza sekta nyingine ili tu kujaza namba.....msyuuu
 
Nani kaongelea "makorido".
Hivi huwa hamuelewi mnachokisoma au ndiyo upunguani?

Hivi kinakushinda nini kuelewa matibabu mpaka kufikia kwa neurosurgeon process inayoaanzia mbali.

Kuna physical conditions ambazo neurosurgeon ni lazima azi diagnose, kuna repeated number of consultations na mgonjwa wake.

Hiyo si operation ya kwenda kutolewa busha.
Tatizo lako ni kutoelewa na kutojua nini kimeandikwa na kuanza tu kubeza wenzako.

Kila mtu anajua kuwa tatizo la kupasuliwa kichwa si tatizo dogo na daktari wake tena sio daktari mmoja tu katika maamuzi ni jopo la madaktari kufikia maamuzi ya kupasuliwa kichwa na mgonjwa anakuwa alishamuona daktari wake mara kadhaa hilo linajulikana.

Nachongea mimi hapa ni siku ya upasuaji timu ya wataalam wengi ndiyo wanaandaa na kumuandaa mgonjwa na daktari wake anaingia chumba cha upasuaji mgonjwa akiwa tayari ameshashulikuwa na wataalam wengine sasa unataka daktari atembee na mgonjwa kwenye makorido au amfunge kamba kwenye mguu na kutembea naye ili ajue anayempasua ndiyo mwenyewe.....

Na ndiyo maana team ya upasuaji inatakiwa kufuata SOP Standard Operating Procedure
 
Kwa hiyo yule daktari hana makosa?

Sikushangai, ndiyo Watanzania tulivyo. Tunatetea hata uozo.
 
Mgonjwa anafanyiwa maaandalizi ya msingi ndani ya chumba cha upasuaji.. Akiwa anajielewa kabisa tofauti na wale Waserious emergency na wote wanakua humohumo akiwepo anesthesiologist muhimu
 
Maandalizi ya msingi mgonjwa anayefanyiwa upasuaji yanaanzia toka wodini kwake na kumaliziwa akiwa chumba cha upasuaji.Hakuna chumba cha maandalizi ya mgonjwa ktk eneo la upasuaji ila kuna chumba cha mapumziko ya mgonjwa baada ya upasuaji wanaita recovery room
 
Kwa hiyo yule daktari hana makosa?

Sikushangai, ndiyo Watanzania tulivyo. Tunatetea hata uozo.
unaongelea daktari unaongelea jambo kwa ujumla wake.....kama taratibu hazikufuata unataka kusema daktari atakuwaje sehemu salama.hakuna anayemtetrea mtu hapa ila tunaeleza nini ambacho kilifanyika.
 
Back
Top Bottom