Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
At times huwa nafikiria kwamba there is always a price to pay just for being a decent/ good person.mbona sijawahi kumfanyia mtu yoyote kitu kama hiki? mbona sikuwahi kudhamiria ubaya wowote na nalipwa yasionistahili. kama mwanadamu nimeumia sana kwa kweli
Siku zote, usitegemee watu wote kukutreat vizuri simply because wewe unawatreat vizuri. Wengine hata hawaoni thamani ya hicho unachokifanya kwao, maybe wataiona thamani yako baadaye sana. Hufanyi investment kutenda mema, unafanya kile ambacho moyo wako unakitaka na ndicho kinachokupa wewe furaha. Just do it anyway. Ipo siku utakutana na atakayejua thamani yako, machozi yote utayasahau.
Kingine, siku zote usije ukaziignore "red flags". Mawasiliano yanapungua tu ghafla au mtu anakwambia kabisa eti "mpo wawili nawachuja, ila wewe nafasi yako ndo kubwa zaidi", jamani jamani tupende ndiyo ila na akili zetu ziwe active. Basi Mshukuru tu Mungu, ulimwomba mke mwema wako na yeye kakupruvia kuwa huyo aliyeondoka siye mke mwema wako.
Ugulia tu kwa muda, futa machozi na usichoke kumuomba Mungu hadi pale atakapokupa mkeo mwema. Usilaumu sana, usikufuru ila shukuru tu kwa kuwa katika kila break up unajifunza kitu kipya, cha kukufanya uwe mtu bora zaidi huko mbeleni. Na uwe na uvumilivu pia coz vitu vizuri havijagi kirahisi rahisi wakati mwingine. "Never give up on love, people hurt you; not love". "Don't let the actions of other people turn you cold on the inside"