Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,907
Ushauri mzuri sana mkuu,mimi pia yalishanitokea hayo na niliumia sanaa kwani nilijiaminisha kwa binti kwa 100% na kumfanyia mengi kwa kadri ya uwezo wangu ila kumbe alikuwa na mawasiliano na mtu mwingine.Pole sana Mkuu... Upo msemo mmoja usemao LIKUEPUKALO LINA HERI NDANI YAKE, unajua kuna Jambo moja tunajisahau, Leo Mungu hazungumzi na watu ana kwa ana, nachofanya ni kuonyesha ishara, kwa hiyo binafsi kitendo tu Kuwa na mawasialiano yanayosua sua ningeshajua hapa ni Mungu ananionyesha ishara Kuwa huyu sio mkewangu, wala nisingesubiri mpaka aniambie Kua Tupo wawili katika mizani yake.
Mpotezee, inauma sana Ila jikaze, Huo ndio uanaume, wala usiwachukie wanawake, kuna wengine wanajielewa sana, kuna wengine macho juu juu.. Kikubwa ni kumshukuru Mungu kwa yote tu. Huenda kuna Jambo anakufundisha Ili aje akupe mwanamke wa maisha yako. Kwajinsi niwajuavyo wadada kuna siku atarudi tu kukuomba msamaha. Usiangalie nyuma, Daima Mbele Kama Yanga, Nyuma Mwiko. Mpotezee tu, Tafuta pesa Mkuu,
Niliamua kumwacha kabisa,japo alilia sana kwani aliyempata naye ni kimeo na alikuwa na mwingine...akarudi sikumpokea.